Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

Hiyo 0.75$ ni sawa na madafu bei gani? inaweza kuwa inacheza roughly kwenye 1500/= japo GB moja kwenye mitandao mingi ni 2000/= hiyo itabidi uitumie kwa siku, ukitaka kutumia kwa wiki utalipia 14,000/= sasa hizi si ndio zile bei zililalamikiwa juzi?

Hapo hakuna hata dakika moja ya kuongea, ukitaka na dakika za kuongea kwa bei hiyo ujue watapunguza MB, kwangu naona bado gharama za internet Tz haziridhishi.
1725Tsh. = $0.75
 
One gigabyte (1GB) of data costs $0.26 in India, compared to an average $6.66 in the UK and $12.37 in the US, finds a global analysis of mobile data prices by UK-based price comparison portal Cable.
- so United states Gb moja ni kama 25,oooTsh, but cha ajab united states has the best internet enterprenuers while tanzania has no internet enterprenuers! Hii nchi kiukweli inabidi turudi kwenye utumwa tu
Sasa kama mtu kima cha chini analipwa USD 15 kwa lisaa anashindwaje kulipia data ya 1GB kwa usd 12 ambayo anatumia siku nzima? Ukipiga 15x8=120 USD na hii ndio hela anaingiza mtu wa kima cha chini kwa masaa 8!

120USD ni equivalent ya almost TZS250,000 kwa siku kwa hela ya kibongo utashindwa kununua data ya 23,000 GB 1 kweli?
 
Huyu jamaa aliyeleta hii mada msameheni tu, hajui anachoongea. Yaani yeye analinganisha bei ya data kwa kuangalia nchi gani wanalipa hela nyingi in nominal value badala ya kulinganisha vipato vya wananchi wa hizo nchi. Haoni tofauti ya dola 2 ukiwa Marekani na ukiwa Tanzania, ni sawa na kulinganisha dola 2 ukiwa Marekani utanunua nini na dola 2 ukiwa Tanzania utanunua nini.
 
Je nguvu ya sarafu kimanunuzi inalingana? Mfano Marekani jana Biden kapandisha kiwango cha chini cha ujira kuwa $15 kwa saa piga mara masaa 40 kwa wiki uone mtu anaingiza $ ngapi afu uone kama mtanzania ana hicho kipato. So Mmarekani hata akinunua GB kwa $ 6 kwake bado ni cheap kulingana na kipato chake tofauti na mTZ
 
Israel is now offering the most affordable mobile internet in the world at $0.05, moving from second place last year, while India shockingly moved from first place last year to 28th this year at $0.68.

Israel is followed by Kyrgyzstan ($0.15), Fiji ($0.19), Italy ($0.27) and Sudan.

The UK is 78th in the world, with 1GB of mobile data costing an average of $1.42. The US is one of the most expensive economies for mobile data, coming in 154th in the world, with an average 1GB cost of $3.33.

Other developed economies with high data prices are Germany, Japan, Portugal, South Korea, Switzerland, Belgium, Canada and Norway which charge $3.38, $3.38, $3.85, $4.72, $5.24, $5.28, $5.72 and $5.81 respectively.
 
Huyu jamaa aliyeleta hii mada msameheni tu, hajui anachoongea. Yaani yeye analinganisha bei ya data kwa kuangalia nchi gani wanalipa hela nyingi in nominal value badala ya kulinganisha vipato vya wananchi wa hizo nchi. Haoni tofauti ya dola 2 ukiwa Marekani na ukiwa Tanzania, ni sawa na kulinganisha dola 2 ukiwa Marekani utanunua nini na dola 2 ukiwa Tanzania utanunua nini.
Eeh yani nchi za kuangalia na kulinganisha ni hawa hawa maskini wenzetu waliotuzunguka maybe Kenya,Uganda! Sababu GDP zao nazo ziko hoi!
 
For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable.

The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no longer offering the most affordable mobile internet in Africa, moving to third, as Sudan and Algeria take the first and second places respectively.

“In Sudan, the cost of mobile internet is $0.27, cheapest in Africa and fifth in the world. Algeria is second at $0.51 and Somalia third at $0.60. Tanzania has the cheapest data in East Africa at $0.75 for every gigabyte of data,” says the survey.

Excellent infrastructure​

The data collected and analysed between December 8, 2020 and February 25, 2021 shows that Tanzania is followed by Rwanda at $1.25, Uganda ($1.56) and Burundi ($2.10) while Kenya, which was second in East Africa last year charging $1.04, now charges $2.25 per gigabyte (GB).

Dan Howdle, consumer telecoms analyst at Cable said many countries with cheap data have excellent mobile and fixed broadband infrastructure, enabling providers to offer large amounts of data, and bring down price per gigabyte.

Others with less advanced broadband networks are heavily reliant on mobile data” he said.

Nigeria and South Africa, which command high internet traffic from its tech savvy population are charging $0.88 and $2.67 respectively.

Countries with long-established, ubiquitous 4G or new 5G infrastructure, the study points out, tend to fall towards the cheaper end of the table.

“This is due to the fact that mobile data plans have escalated far beyond the 1-10GB per month median, offering instead plans with caps in the hundreds of gigabytes, or even completely unlimited. The cost per gigabyte in these countries will tend therefore to be very low.”

soma hii
Screenshot_20210429-101650.jpg
 
Swala la commision usilichukulie ndio kama angle ya kuchomokea. Swala la commision nimekuchomekea kwa maksudi tu kukupima na kweli umeingia mzimamzima, nilijua tu huyu tayari hii hoja aliyoileta kaibeba nzima nzima kutoka kule alikoitolea ila hajui chochote kwa hiyo nikimtega kidogo tu lazima aingie mzima mzima. Sasa ona ulivyoifanya commision ndio kichaka cha kujifichia na kuitelekeza hoja uliyoileta mwenyewe.

Wewe stick kwenye hoja uliyoileta acha blah blah. Tatizo la watu kama ninyi hamjua kitu lakini much know hatari. Hivi hata unaelewa consumption ya data inakuwaje? Hivi unajua kwa nini data za mitandao mingine zinaisha mapema ilihali mitandao mingine unatumia mpaka unasahau? Hivi unajua boss wa facebook, instagram anapataje hela yake unapotumia hizo App? Hivi unajua nani anafaidika pale unapotumia data kwa kufungua website yeyote? Hivi unajua nani unamlipa unapokuwa au unapomiliki website? Anyway haya yote niliyoyataja ni irrelevant kwenye hii hoja yako, nimeyataja tu ili kukuweka sawa. Tafadhali tueleze kigezo cha data kuwa bei nafuu hapa Tanzania, hizo zingine unazozileta ni kichaka cha kutaka kuhalalisha kuwaibia watanzania.

unajua nn! usinchoshe unauliza maswali ambayo ndo field nnayofanya, na nmekuuliza maswali machache sana ambayo ni very easy , sjaenda into more technical, usihangaike bure maaana amna unachojua.
 
Ndungulile at work

ndugulile amekuta data zikiwa chini toka mda, aliefanya kazi hii kubwa nii jakaya kikwete yeye ndo mwanzilishi wa fibre network inaitwa MKONGO WA TAIFA, au some people call it EGA, kama huu mkongo usingekuepo basi tungelipa data kutokana na infrastructure za makampuni binafsi
 
Sasa kama mtu kima cha chini analipwa USD 15 kwa lisaa anashindwaje kulipia data ya 1GB kwa usd 12 ambayo anatumia siku nzima? Ukipiga 15x8=120 USD na hii ndio hela anaingiza mtu wa kima cha chini kwa masaa 8!

120USD ni equivalent ya almost TZS250,000 kwa siku kwa hela ya kibongo utashindwa kununua data ya 23,000 GB 1 kweli?

kwan tanzania na zimbabwe nani ana uchumi mkubwa kushinda mwenzake? na Je price per Gb kwao ni bei gan! tuanzie apo
 
Je nguvu ya sarafu kimanunuzi inalingana? Mfano Marekani jana Biden kapandisha kiwango cha chini cha ujira kuwa $15 kwa saa piga mara masaa 40 kwa wiki uone mtu anaingiza $ ngapi afu uone kama mtanzania ana hicho kipato. So Mmarekani hata akinunua GB kwa $ 6 kwake bado ni cheap kulingana na kipato chake tofauti na mTZ

kwan tanzania na zimbabwe nani ana uchumi mkubwa kushinda mwenzake? na Je price per Gb kwao ni bei gan! tuanzie apo
 
i have been to zimbabwe mara kibao sana and they dont sell cheap data at all:
india has the cheapest price only on one network ambayo inaitwa JIO, the owner of JIO anaitwa Mukesh Ambani , he is the richest man in india($76.8B) and #10 dunia nzima, anaifanya kama philanthropy but the main income inakuja as the biggest supplier of internet on earth

in addition to hio hio kampuni ya JIO wanauza the cheapest phone dunia nzima, waliingia contract na kampuni moja nmeisahau jina wauza simu znaitwa Freedom 251, zna muonekano wa iphone na zna 4G ila znauzwa kwa $4 roughly (8.000Tsh)
 
Soko likiwa na wateja wengi halafu alots of competition kutoka kwa watoa huduma always bei zitakuwa ndogo ili makampuni yashindane kupata wateja!.

Sasa kwa Africa nimetembea nchi nyingi mfano Kenya Safaricom na south Africa vodacom wana nguvu sana sokoni na wamecapitalize soko hivyo ni ngumu kuwaaminisha watu juu ya mitandao mingine.

Tofauti na Tanzania ambapo soko makampuni yanashare yaani ukizengua tunazengua so lazima bei ziwe chini.

Ingawa bundle sio halisi.
Hapo kwa bundle sio halisi ndio wanatupiga kisawa sawa, gb 10 ya Tanzania unaweza kukuta kwa wenzetu ni mb 500,
 
Huyu jamaa aliyeleta hii mada msameheni tu, hajui anachoongea. Yaani yeye analinganisha bei ya data kwa kuangalia nchi gani wanalipa hela nyingi in nominal value badala ya kulinganisha vipato vya wananchi wa hizo nchi. Haoni tofauti ya dola 2 ukiwa Marekani na ukiwa Tanzania, ni sawa na kulinganisha dola 2 ukiwa Marekani utanunua nini na dola 2 ukiwa Tanzania utanunua nini.

Dogo unataka kujikuta unajua kumbe we ni pimbi tu. Kelel zote izo kuruka maswali nliokuuliza,yaani we ni hopeless na hujui kitu, Technically nshajua we ni pimbi basi geographically tuambie Gb moja zimbabwe inauzwa kwa kiasi gan alafu tanzania pia gb moja inauzwa kiasi gan!
 
😂 😂 😂 😂
Ningetumia mda wangu kukuelewesha sema sasa tatizo lenu mnajifanya mnajua kumbe hopeless tu! kama unataka battle za uchumi wala usijali ndo umefika mahali pake, ila kabla hatujaenda uko jibu maswali haya kadhaa

1) Mitandao ya simu inanunua internet kwa nan? na wanauziwa bei gan kwa kila packets
2) How many cables are used as alternative and how much do they cost per packet
3) Msafirishaji wa internet Tanzania nzima anaitwa nan?
4) Ni nchi ngap wanauziwa internet kwa tanzania na kwa bei gan
5) Entrace ya internet cables tanzania zpo mkoa gan na nani ndo mwendeshaji
Haya maswali ningependa pia na mm kujua majib yake
 
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Tanzania imetajwa kuwa ni Nchi ya kwanza Afrika Mashariki ambayo bei ya Bando zake za Internent ni nafuu kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na Mtandao wa Utafiti wa Cable wa nchini Uingereza.

Kwenye ripoti hiyo yenye Takwimu za Dunia nzima ambazo zimekusanywa kuanzia December 08,2020 hadi February 25,2021 inaonesha kuwa Tanzania ina Bando rahisi ambayo ni USD 0.75 (Tsh. 1,742.81) kwa GB moja ikifuatiwa na Rwanda (USD 1.25), Uganda (USD 1.56) na Burundi (USD 2.10).

Kenya ilikuwa ya pili mwaka jana ambapo bando iligharimu USD 1.04 kwa kila GB lakini kwa mwaka huu gharama zimepanda na kufikia USD 2.25 .

Source #MillardAyoUPDATES
 
Back
Top Bottom