Huenda Gadaffi ametorokea Algeria

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Kuna taarifa kuwa huwenda aliyekuwa kiongozi wa Libya bwana Gadaffi ametorokea nchi jiran ya Algeria,mwanaharakat mmoja ambae alihojiwa na shirika la Al-alam amesema kuwa magari ya delaya yalionekana kwenye mpaka wa Algeria na Libya ambapo magari hayo inasadikiwa yalimbeba Gadaffi na wanawe,lakini maafisa waliokuwepo mpakani mwa Algeria na Libya wamesema hawajaona hayo magari
Sosi:Tehran Radio-Swahili service
 
Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,446
Points
2,000

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,446 2,000
kwa mujibu wa mtandao wa ZEE NEWS GADAFI yupo zimbabwe kwa mugabe kama mwakumbuka wiki hii MUGABE alitishia kumtimua bzalozi wa libya nchini ZIMBABWE KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA WAASI, akisme kuwa yuko pale kuiwakilisha serikali ya GADAFI na sii ya waasi. kwa ufupi gadafi katulia kwa MUGADE ana kinga zote kuwa pale.
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
kwa mujibu wa mtandao wa ZEE NEWS GADAFI yupo zimbabwe kwa mugabe kama mwakumbuka wiki hii MUGABE alitishia kumtimua bzalozi wa libya nchini ZIMBABWE KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA WAASI, akisme kuwa yuko pale kuiwakilisha serikali ya GADAFI na sii ya waasi. kwa ufupi gadafi katulia kwa MUGADE ana kinga zote kuwa pale.
<br />
<br />
sawa,,,,,hizo zote ni sehemu katika habari maana bado haijathibitika rasmi kuwa yupo wapi so tutasikia meng na kusoma mengi,,,,,,,pia inawezekana akawa yupo LIBYA,hata Sadam we thought alikimbia lakin what next?
 
Forum statistics

Threads 1,356,439
Members 518,902
Posts 33,132,296
Top