johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,115
Maridhiano tayari!Uzi tayari...
Wewe hauko sawa upstairs!Maridhiano tayari!
Umeona mawakili wa Kenya walivyotetea dhamana ya gavana Sonko?
Ni vema ukajifunza kwa wabobezi kutoka Kenya!Wewe hauko sawa upstairs!
Hahahaaaa........!
Upepo wa kisulisuli?!!!kwa nje itakuwa hivyo ila mioyoni mwa watanzania upinzani dhidi ya wakoloni wa kijani upo palepale. huu utawala kandamizi wa magufuli ni upepo tu LAZIMA utapita.
Kama CCM watatumia mbinu zile zile za kwenye uchaguzi wa SM kuwafuta wagombea wa upinzani,uko sahihi.Na hata huko Zanzibar ACT watatoka kapa kama vile Mrema alivyotoka kapa huko kijijini kwake.Lakini ndani ya TUME HURU,hilo halitawezekana.Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.
Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.
Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!
ACT hii ya Kigogo 2014?Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.
Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.
Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!
ACT wazalendo itajinyakulia viti vya kutosha Pemba!Kama CCM watatumia mbinu zile zile za kwenye uchaguzi wa SM kuwafuta wagombea wa upinzani,uko sahihi.Na hata huko Zanzibar ACT watatoka kapa kama vile Mrema alivyotoka kapa huko kijijini kwake.Lakini ndani ya TUME HURU,hilo halitawezekana.
Hiyo mbege uliyokunywa imechanganywa na gongo!CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema Mbowe na Zitto watarudi bungeni?!Ambacho hukijui ni kwamba 2020 hakuna mpinzani atarudi bungeni,siyo Zitto siyo Mbowe! Mkuu inaonekana wewe ni mgeni wa awamu ya tano!