johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,570
- 141,378
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.
Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.
Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!