Huenda 2020 tukawa hatuna chama kikuu cha Upinzani wala Kiongozi wa Upinzani Bungeni ( KUB)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,750
139,548
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.

Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.

Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kinana anakusalimu.

Tunazungumzia 2020 bwashee!
5..JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama CCM watatumia mbinu zile zile za kwenye uchaguzi wa SM kuwafuta wagombea wa upinzani,uko sahihi.Na hata huko Zanzibar ACT watatoka kapa kama vile Mrema alivyotoka kapa huko kijijini kwake.Lakini ndani ya TUME HURU,hilo halitawezekana.
 
Ambacho hukijui ni kwamba 2020 hakuna mpinzani atarudi bungeni,siyo Zitto siyo Mbowe! Mkuu inaonekana wewe ni mgeni wa awamu ya tano!
 
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.

Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.

Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
ACT hii ya Kigogo 2014?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama CCM watatumia mbinu zile zile za kwenye uchaguzi wa SM kuwafuta wagombea wa upinzani,uko sahihi.Na hata huko Zanzibar ACT watatoka kapa kama vile Mrema alivyotoka kapa huko kijijini kwake.Lakini ndani ya TUME HURU,hilo halitawezekana.
ACT wazalendo itajinyakulia viti vya kutosha Pemba!
 
Sio huenda, ndio ukweli. Hata visiwani hakuna wabunge, zengwe litakuwa kama uchaguzi uliofutwa Zanzibar. Kifupi litakuwa binge la chama kimoja kwa gharama kubwa kufubaza demokrasia na maendeleo ya nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom