Hudumia Mwanamke unayeishi naye. Acha kiherehere utakuja kulizwa kibwege

Tatizo wewe unampaga kichwa sana,Mimi nikisema ubahili wake ukifika wewe utasikia "Kwa Nini upewe Hela wewe Kwa Nini usimpe?Mimi tena Aaaaaaah keshaharibu🤣🤣🤣🤣🤣

Wewe siku ukimalizana na Kula vichwa vya matutusa nilishakuambia MLANGO uko wazi uje kwangu.
Mimi Michezo yenu hatari hiyo siiwezi.
 
Mwanamke na Mwanaume hata wakiwa na ndoa kama hawapendana ni kazi Bure. Hakuna heshima yoyote mkiwa kwenye Ndoa Mama hampendani zaidi ya unafiki na Utapeli.

Ndoa ni nzuri na baraka Kwa Watu wanaopendana.
Uislam raha sana, kama hampoendani mnawachana tu, kihalali kabisa. Yanini mlazimishe?
 
HUDUMIA MWANAMKE UNAYEISHI NAYE. ACHA KIHEREHERE UTAKUJA KULIZWA KIBWEGE.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

90% ya wanaume wanaolilia mapenzi wanakiherehere. Ushamba tuu.

Mwanamke hujamuoa, mwanamke hauishia naye, ni kitu gani kinachokufanya umhudumie kama sio kiherehere na ushamba? Kwa nini unalazimisha kudharauliwa? Kwa nini lakini unalazimisha kutapeliwa na kuumizwa na hao dada zetu

Nani alikuambia ni jukumu lako kumhudumia huyo Mwanamke ikiwa hujamuoa au ikiwa hauishi naye? Ni Nani huyo aliyekuambia hivyo ili akugeuze Msukule na maamuma wa Wanawake?

Unajua Maisha yanaumiza pale unapokuwa na kiherehere, kufanya mambo yasiyokuhusu. Kuvuka mipaka yako.

Kama yupo kwao ni jukumu la Wazazi wake kumtunza Binti Yao. Kama amepanga nyumba ni jukumu lake kujitafutia mahitaji yake ikiwa ni pamoja na Kodi, bills za Maji, umeme n.k.
Wakati anapanga alijua anauwezo wa Kupanga, ni Kwa nini akupe majukumu wewe kama sio kuwa kakuona wewe ni hamnazo, Msukule au unakiherehere cha kibwege.

Alafu ulivyolijinga sasa, umempa Pesa Kwa kiherehere chako alafu unataka asitumie na wanaume anaowapenda, hivi wewe ni chizi nini? Nani alikuambai viherehere na mabwege wanasikilizwa?

Unakuja kulia humu, oooh! Wanawake wabaya, sijui namhudumia lakini hana shukrani.

Vijana, kama vile Wanawake wanavyosema mwanaume asiyewahudumia wa nini. Vivyohivyo nanyi semeni Mwanamke nisiyeishi naye au kumuoa kumhudumia ya nini.
Kama ni papuchi zinauzwa na unaweza kuzipata Kwa muda wowote uutakao. Lakini sio kujitia kiherehere cha kibwege na kuanza kutafuta lawama Kwa mabinti za Watu kisa Huduma zako zinazotokana na Upeo wako kuwa Mdogo.

Ukiwa kama kijana wakiume lazima ujitambue.
Fanya kazi,
Iheshimu kazi yako inayokupa kipato hata kama wengine wanaidharau. Hiyo haiwahusu Kwa sababu haiwalishi wao isipokuwa wewe.
Heshimu jasho lako( mapato yatokanayo na jasho lako). Penda Pesa uliyoitolea jasho kuliko Kitu chochote Baada ya Mungu na familia yako(kama umeoa).

Kuna wale wenzangu na miye ATI wanahudumia ili wasijekuachwa. Hivi ninyi mmelogwa nini! Ati wawekezaji wa Mapenzi. Nani alikuambia kwenye mapenzi kuna uwekezaji wa Pesa kama sio ujinga wako?
Ati nisipomhudumia ataniacha, au Kwa vile kidemu kimekudharau kimekuona hujiamini kinakubwatukia, usiponitunza wenzako watanitunza.

Taikon Master ukiniambia maneno kama hayo unapigwa Chini muda huohuo ili nisikucheleweshe kwenda kuhudumiwa Huko. Yaani unanitisha sio!

Kakijana kanakondeana, mwili na Umri haviendani, kijana mdogo lakini ukimtazama kazeeshwa na Majukumu ya kuhudumia vitu visivyoeleweka.

Mara kumnunulia simu, Wakati hata mamaako mzazi aliyekulea Kwa shida hujawahi kumnunulia simu ya maana.
Mara kumpangishia nyumba na kumuwekea Samani za ndani ilhali kwenu wazazi wako Hawana hata stuli. Wewe kama sio Bwege ni Nani?

Bora mngekuwa mnaishi wote. Hiyo ni Akili.

Vijana, msije niona ninaroho Mbaya au ninawapangia Maisha. Nop! Simpangii yeyote Maisha Ila nimeandika Kwa ajili ya wale Vijana wanaopenda kujifunza Kabla hawajakutwa na vitu vizito wajifunze na wachukue tahadhari. Na hii sio Kwa wale wa sikio la Kufa au masikio ya kenge.

"Oooh!Taikon wewe tatizo lako unajifanya Sana. Oooh! Mapenzi hayana Formula, ooh! Sijui Subiri Ipo siku yako nawe utanyooshwa tuu. Utakuja kulia humu. Subiri siku yako"
Nisikilizeni ninyi vijana, acheni kuvuka mipaka. Msipende kufanya mambo yasiyo wahusu. Hiyo ndio namna pekee ya kuishi Kwa amani.

Ooh! namsomesha ndipo nimuoe. Wewe ni kichaa nini? Kiherehere kinaua. Kama unataka waliosoma si uende chuoni Huko ukatafute? Au tafuta waliosoma. Sio ujipe kazi isiyokuhusu.
Au OA Kwanza kisha mkishazaa Watoto walau Wawili ndipo umsomeshe. Hiyo ndio Akili.

Unaweza kumkuta kijana wawatu anavyohangaika kujitoa, alafu huyo anayejitoa ATI anamuona Danga, Buzi au Msukule.

Kama unakiherehere kikali basi Taikon Master anakushauri;
1. Chukua huyo Mwanamke OA au ishi naye. Ili afanye majukumu kama MKE wako sasa.

2. Kama unamali ambazo huna Mpango wa kuzifikisha mpaka Kwa wajukuu yaani unataka kuzitapanya. Basi mchukue mzalishe huyo Mwanamke kisha hudumia.
Vivyohivyo tafuta Wanawake wengine, zalisha hudumia. Hakikisha usibambikiziwe.

Kama Mkeo anakusumbua na hakupi furaha na unahitaji pumziko Kwa mchepuko na hivyo unahita kumhudumia;
1. Mzalishe mtoto au Watoto kisha hudumia.
Akileta Jeuri Kwa vile tayari anawatoto hivyo ana Ile kasumba kuwa anakumiliki kupitia Watoto. Tafuta Mwanamke mwingine fanya hivyohivyo mpaka Roho yako itakavyoridhika.

2. Ikiwa umejaliwa Pesa tuu na huoni shida kumhudumia Mwanamke hata asipokuwa Mkeo au unayeishi naye. Pasipo kuzuia Uhuru wake yaani humkatazi kuwa na wanaume wengine na kufanya mambo yake. Na wala haikuumi kumhudumia na Wakati huo kumuona anatoka na Mwanaume mwingine basi Fanya.
Lakini ikiwa unaroho nyepesi na unahitaji uheshimiwe kama Mume na Mwanaume basi fuata Kanuni nilizozitaja Huko juu ili ku- balance mchezo.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
MMH! Umeharibu best mjn kugumu sana.
wale wapenda vya dezo hawatoboi
 
Hapana,Nina wasiwasi wewe hata mkeo anatakiwa apange bujeti Kali sana mpaka apate ka pocket money kake😁😁😁

Kwangu kuna Bajeti ya familia tuu.
Hakuna Pesa ya mwanaume au Mwanamke.😊😊
Kukishakuwa na pocket money ya Mwanamke sijui Mwanaume hiyo nyumba tayari inaufa.

MKE wangu haombi Pesa Bali anatumia Pesa zangu kama ambavyo angetumia Wakati akiwa Single.
 
Kaka wewe ni mtu mnoma sana, sasa nafikiri nioe nishapigwa sana kwa staili hizi dah
 
Back
Top Bottom