princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,357
Yamenikuta naugulia maumivu makubwa niliyoyapata asubuhi hii.
Kutoka stand ya Mkoa Tbs - Kibangu catholic church haizidi dakika 5 inakuaga 3000/= Tzs
leo nafika tu nashuka naambiwa 18000/=
Na hatujakaa kwenye foleni hata, najuta nmeumia kama nmechomwa kisu[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma zenu zimekuwa za kiwizi bora kutumia taxi za kawaida.
Napenda kutahadharisha watumiaji wa Uber, ukiona magari ni machache alafu wanakuletea ujumbe kuwa utalipa 1x1.5, 1x1.6, 1x1.7 kimbia chukua taxi za kawaida.
Safari ambayo huwa nalipa Tsh 14,000 hadi Tsh 18,000 siku hiyo wameniletea hesabu ya 1x1.5 nikajua haitakuwa nyingi sana, kufika sehemu husika hesabu inakuja Tsh 72,000 na wala hatujakaa sana kwenye foleni.
Naona bora kuwa Bolt/Taxify na wale wengine wakianza kuleta hesabu zao za kijinga unawapotezea miezi kadhaa.
Mlianza vizuri sana, tukawapokea sasa hivi mnaonyesha makucha yenu, shame on you!
Kwa haya maelezo basi UBER wanatuibia.Aisee mimi silipi,
Ilishawahi nikuta hii kutoka Posta hadi Upanga nilikua naenda kwa elfu 3 ikizidi 4,
Siku hiyo muhuni mmoja akanihisi wa kuja ananionesha kitu kinasoma elfu 17, lol
Hakukua na folen wala chochote nikamwambia babuu iliyozidi utaongezea me yangu hii hapa elfu 3, akataka kubisha nikamwambia anireport, akanywea ooh basi fresh itakua imekula kwangu leo, Akakunja elfu 3 yake.
Kuna moja nilipanda anaendesha sharobaro mmoja hivi.Kufika kwenye mataa,tumefuruhusiwa akaangalia nyuma hakuna gari basi akapotezea taa ya kijani tukaendelea kusimama.Nikamuuliza "taa zilituruhusu mbona ulisimama?"Akajiumauma baadae akaanza kutembea taratibu,nikamwambia barabara inakuruhusu mwendokasi wa 50km/saa wewe unatembea 35km/saa.Nyoosha mguu unanichelewesha,akatulia tuli "kumbe braza wewe ni dereva?"Sitopanda tena hizi bora nitafute taxi au bajaji najua bei haiwezi ongezeka .
Nilikuwa naenda tabata magengeni nikapanda kulikuwa na jam nikalipa 17000 badala ya 8000
Dereva mwnyw yupo slow hana hata mwendo anaruhusu watu waovertake tu
bishoo flani alinikera nilifka event saa mbili usiku kama mjinga .unamwelekeza aje akufate anapotea njia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja nilipanda anaendesha sharobaro mmoja hivi.Kufika kwenye mataa,tumefuruhusiwa akaangalia nyuma hakuna gari basi akapotezea taa ya kijani tukaendelea kusimama.Nikamuuliza "taa zilituruhusu mbona ulisimama?"Akajiumauma baadae akaanza kutembea taratibu,nikamwambia barabara inakuruhusu mwendokasi wa 50km/saa wewe unatembea 35km/saa.Nyoosha mguu unanichelewesha,akatulia tuli "kumbe braza wewe ni dereva?"
Halafu wanapenda njia zenye foleni.Sababu nauli zao wanatoza kwa aina tatu,Hahaa bora ww ulimwambia mimi sijui kitu kuhusu gari .
Naona wanafanya makusudi tu hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wanapenda njia zenye foleni.Sababu nauli zao wanatoza kwa aina tatu,
1)Basic fare 1000/=Tsh
Hii ukiita tuu lazima hii ijumlishwe.
2)Tsh.450/km
Hapa sh.450 itazidishwa kwa umbali(km) wa safari yako.
3)Tsh.80/dakika
Hii unatozwa muda unaotumia kwa safari yako.
Sasa hapa ukikutana na foleni ndio shida inapokuja.
Mfano:umeenda safari ya km 10,umetumia dakika 60.
Tsh.450/km × 10 km = 4,500
Tsh.80/dk × 60 dk= 4,800
Kwa hiyo nauli itakuwa 4,800 +4,500 +1,000= 10,300 tsh.
Hii ndio itakuwa nauli yako 10,300 tsh.
Dam shit....................hapo yawezekana umechezewa mambo..............wataalamu wanasema kutingisha dishHao bolt na wenyewe nimakamasi kabisa. Sijawai toka msasani mpaka Airport kwa hela niliolipa jana. Mara kibao nikikipa sana nalipa 15,000/- jana nimeletewa bili ya 65,000/- nimebaki nashangaa. Nikadhani ni 6500 wamekosea bwana duh. View attachment 1343778
Sent from my iPhone using JamiiForums
MKUU NINA PIK PIK TATUHuduma zenu zimekuwa za kiwizi bora kutumia taxi za kawaida.
Napenda kutahadharisha watumiaji wa Uber, ukiona magari ni machache alafu wanakuletea ujumbe kuwa utalipa 1x1.5, 1x1.6, 1x1.7 kimbia chukua taxi za kawaida.
Safari ambayo huwa nalipa Tsh 14,000 hadi Tsh 18,000 siku hiyo wameniletea hesabu ya 1x1.5 nikajua haitakuwa nyingi sana, kufika sehemu husika hesabu inakuja Tsh 72,000 na wala hatujakaa sana kwenye foleni.
Naona bora kuwa Bolt/Taxify na wale wengine wakianza kuleta hesabu zao za kijinga unawapotezea miezi kadhaa.
Mlianza vizuri sana, tukawapokea sasa hivi mnaonyesha makucha yenu, shame on you!
NDUGU NIKUJULISHE TU BEI AZIKO SAWA MDA WOTE N KOTE SO KAMA ULIPATA KWA MDA FULAN UNAWEZA KUTA JION UNARUDI NA PUNGUFU AMA.CHINIHizi huduma bwana kila moja ina changamoto yake
Majuzi nikasikia BOLT wapo poa nikasema nijaribu toka Menge Cocacola hadi Beac moja. Asubuhi nimechukua kwenye estimate inaonyesha 5,000, kweli kufika total cost ikaja Tsh 5,000. Jioni nikaitisha umbali ule ule, kwenye estimate ikaja 5,000 hado 7,000. Baada ya kuchukuca mwisha wa safari ikaleta Tsh 10,000/= nikachoka
Kwa hiyo hizi online transport kila moja ina changamoto yake na starehe yake
Nilichojifunza wanakuvutia kwenye biashara mwanzoni utalipa bei ndogo, baada ya muda wanakupiga bei ya hatari