Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,422
- 2,208
Wadau nawasalimu.Mimi nimekuwa nikitumia DALADALA kusafiri sehemu mbalimbali za Jiji la Dar kwa miaka mingi. Na Usumbufu wa DALADALA naujua sana.
Serikali ilipoanzisha Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi ili kutoa huduma ya Usafirishaji wa Abiria ktk baadhi ya Sehemu za JIJI niliamini kuwa utakuwa ni Usafiri BORA kabisa Usafiri usio na Usumbufu Usafiri wa kufika kwa wakati.
Lakini leo nimegundua kuwa Nilikuwa Najidanganya kuamini hivyo.Nilichogundua ni kwamba Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi una tofauti Kama tatu na Usafiri wa Daladala na ukiziondoa hizo tofauti basi Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA TU Kama DALADALA nyingine.
Tofauti kati ya Mabus ya Mwendokasi na Daladala ni pamoja na
1. Mabus ya Mwendokasi yana BARABARA zake tofauti na DALADALA hazina special barabara.
2. VITUO vya uhakika ambavyo Mabus ya Mwendokasi ni lazima Mabus yasimame tofauti na DALADALA zinajisimamia POPOTE pale.
3. Aina ya MABUS ya Mwendokasi ni tofauti na Mabus ya DALADALA
Ninapo soma Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA tu nikutokana na Kutoa huduma Kama zitolewazo na DALADALA huduma ambazo nayo Mabus ya Mwendokasi yamekuwa yanatoa Kama vile
1. KUJAZA abiria kupita kiasi.
2. Kuondoka VITUO mpaka DEREVA atake mwenyewe hiyo ndivyo zilivyo DALADALA.
3. Kubeba Mizigo Kama Magari ya Mizigo/ kubeba mpaka ndoo za Samaki ndivyo zilivyo DALADALA.
Kutokana na hizo Sababu nahitimisha kwa kusema kuwa Binafsi SIONI umuhimu wa uwepo wa Mabus ya Mwendokasi Kwani HUDUMA zake ni Kama za DALADALA.