Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,043
Ni wazi suala la Usafirishaji wa Mabus ya Mwendokasi limekuwa DONDA sugu ktk UTAWALA wa AWAMU ya 5 na hii ya 6
Rais wa AWAMU ya 5 alikuwa ANAMTEUA na KUMTENGUA CEO wa UDARTS, RAIS wa AWAMU ya 6 nae mambo yamekuwa ni yale yale KUTEUA na KUTENGUA.
Ili kumaliza utendaji mbovu wa Mabus ya Mwendokasi kinachohitajika ni UWEPO wa KAMPUNI 2 barabarani zishindanishwe kutoa HUDUMA ya USAFIRISHAJI
Kufanya hivyo kila KAMPUNI itajipanga KIUSHINDANI na Kampuni itakayozembea Itajikuta ABIRIA hawayatumii Mabus yake na kila KAMPUNI itajitahidi kuyaboresha Mabus yake pamoja na Ujazaji hivyo wa Abiria Upakiaji mkubwa wa Mizigo utadhani Malori ya Mizigo, Ukatishaji Tiketi wa kisasa CARD kama za Pantoni Muda wa Mabus kituo mpaka kituo na Lugha nzuri ya Watendaji wa kwenye Vituo na MADEREVA.
Tunaiomba SERIKALI iliangalie hili ili kimpunguzia RAIS eli TEUA TENGUA wakati tatizo la UDART ni kutokuwa na MSHINDANI.