Huduma za Hard disc recovery hapa Tanzania

Huduma za Hard disc recovery hapa Tanzania

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,246
Reaction score
12,796
huduma inahusiana na kuokoa documents kutoka kwenye hard disc iliyoharibika(physically damage).Anayefahamu zinapotolewa huduma hizi anifahamishe
 
kuna software moja tu jamaa zangu ambayo mm huwa nina tunia siku zote kutengenezea HARD DISK nayo ni HDD REGENERATOR
kazi yake ni kufix cruster size ambazo ziko demage kama vile mtu akiangusha HDD yake chini
 
Amani Place building,opposite moven pick(now serena) floor ya 9,..wanaitwa data handlers.
 
Kuna watu wana jiita data recovery nimewasikia wanajitangaza kwenye radio clouds leo......nadhani wanaweza kukusaidia wamesema wanapatikana mtaa wa Amani?? Nadhani ni Kkoo au wapi?? Sina details zaidi za location yao....if you cn contact clouds watakusaidia kuwapata hawa jamaa!! Nadhani watakusaidia na shida yako!!!
 

Safi sana kwa ufuatiliaji.
Ungemsikiliza Fatma hapo juu wala usingefanikiwa kuwapata.
Wakishakusaidia tujulishe na sisi

unaweza pia kudownload hiyo software na kufanya mwenyewe
 
huduma inahusiana na kuokoa documents kutoka kwenye hard disc iliyoharibika(physically damage).Anayefahamu zinapotolewa huduma hizi anifahamishe

huduma hiyo ipo na inatolewa ktk kampuni ya Young Master Supplies and General Enterprises kwa bei nafuu kabisa. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba +255789 884 221 or e-mail: youngmasterent@gmail.com
 
Back
Top Bottom