Huduma za changudoa

Huduma za changudoa

Kitu chakuhalalisha ni unga bana unahela vibaya mno....
Kuna mshikaji wetu mmoja alishangilia sana aliposikia kuwa kuna jamaa wamekamatwa na tani 2 za bangi. Akasema kwa sababu wabongo tumeshindwa kila kitu bora tuhalalishe kilimo cha bange halafu tuuze nje sana!!!
 
Kalaghabao wee sijui uko dunia ya ngapi?condom hazizuii maambukizi ya vvu.Condom zinazuia magonjwa mengine ya ngono,mimba pia ila si vvu.Condoms zote zina vitobo vidogovidogo ambavyo ni ukubwa wa 1.5 na kirusi cha ukimwi kina ukubwa wa 0.5. Ukisurvive gonjwa na huku mzururaj shukuru rehema za Mungu si useme kondom umekusaidia.Tafuta mpenzi mmoja mwaminifu.Mshirikishe Mungu kama ni unaamin katika Mungu.Okay bye

Mimi nadhani wewe ndio hujui kinachoendelea duniani. Ngono inafanyika sasa huko duniani (Ulaya, marekani, etc) toka miaka nenda rudi na ilishahalalishwa kitambo. Kule kinachoangaliwa ni hela tu. Dem hajali umetoka Tanzania (Makete, Bukoba, Kyela), Nigeria, China, au wapi!!! Unampa hela unakula mzigo unaondoka. Kinachofanya idadi ya watu wenye HIV/AIDS kuwa wachache ni matumizi sahihi ya condom tu. Wao hizo walishaanza kutumia miaka kibao iliyopita kabla hata ukimwi haujakuwapo (kwa ajili ya birth control). Au unataka kusema Africa watu wanafanya ngono kuliko huko? Na kama unafikiri hivyo umechemka, kwa sababu kule kwao ukitaka hata sehemu za group sex zipo!!! Sasa kwanini ukimwi hakuna kivile? Mungu anawapenda sana wale kuliko sisi??? Jibu ni kuwa hakuna mtu anafanya ngono bila condom kule baba!!!! Hakuna ndumba wala uchawi.

Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa condom zinaweza kuwa defective na namna wanavyopima TBS sio uhakika sana. Nimewahi fanya kazi fulani pale nikapewa na lecture jinsi wanavyotest ubora condom. Sio uhakika sana hasa ikizingatiwa kwamba kuna rushwa na issue zingine.
 
Dah ngoja nikutumie kwenye Pm kama uko serious ila yeye unalipia chumba kwanza kama utatumia chumba chake, amepanga Guest moja nzuri tu maeneo ya Mabibo. Yuko vizuri kwa kweli ila huwa akilewa anafanya mambo ya kijinga kidogo. Anaitwa Jack

heheheee... ni Jack nayemjua mimi? lol
kadunia nikadogo sana..
 
unaenda kumnunua binadamu mwenzio!!!? sio fea kabisa, unaweka gap kati walionacho na wasionacho.... tafuta wako mtulizane

Kama wewe ni me huyo ulie nae unamgharamia kila kitu,outing kila weekend na unafanya kila kitu kumuimpress kwamba unampenda hiyo sio kumnunua binadamu:what::what::what:
 
umeonge ukweli mtupu mkuu....kwa mazingira haya tunayoishi ni bora iwe hivyo. hawa wadada wa siku hizi ni ngumu sana kuwa peke yako....mtapangwa hata wanne na wewe hujui. ikihalalishwa hiyo biashara naamini hata ukimwi utapungua sana tu. naunga mkono hoja


wakuu mniPM namba za hao kina jack na wengine kama hao.
 
Da hapa Kona bar yaelekea huwa panapendeza sana, coz daily naskia pande hizo, doh lazima weekend hii niibuke mitaa hio, vp lakini wadau kuna totoz za ukweli???
 
Mimi pale KONA BAA nikiingia ni kama home nishapiga karibia wote kuanzia WARDA, JACK, VAILET, ROSE, ANASTAZIa, HUSNA na wengineo wengi kiukweli hawa watu hawana gharama hata kidogo ukiwa na 5,000 unakojoa bao lako moja unaenda kulala. RAHA SANA
mkuu punguza aisee, hiyo baa moja tu hujataja nyingine!
 
Nilivyoona humu wengine wanatangaza biashara za baa zao
wengine wanajitangazia wenyewe na namba zao wanaweka

ila maisha lazima yasonge mbele
 
Wataruhusu tu. Mbona tuna ahadi ya kuhalalishiwa gongo :A S-baby:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom