Huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi tafadhali????

Kwa maneno mengine, delete hiyo unayoambiwa ulipie then anza download nyingine kama ulivyo-download hiyo unayoambiwa ulipie.
 
Hata mimi nimeshindwa ku download instagram kwenye blackberry coz inauzwa..
 
Kwa maneno mengine, delete hiyo unayoambiwa ulipie then anza download nyingine kama ulivyo-download hiyo unayoambiwa ulipie.

Nishaidelete tayari hii niloambiwa niilipie na nimedownload nyingine mpya lakini bado inanipa hii sms kua napaswa kulipia $0.99

Yaan ata sielewi
 
Habari zenyu wakubwa!!

Samahani.....kwa anaye fahamu anijuze hii huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi??????

Wamenifungia hii huduma mpaka niilipie,,,,,ni wapi niende nikalipie,,??nifahamisheni tafadhali!!
Ingawa najua umepata mwanga labda niongeze haya yafuatayo na fuata maelekezo haya: Unaweza kununua hiyo app kama una bank account au namna nyingine yoyote ambayo inaweza kukuruhusu kununua online.
Njia rahisi ya kufanya kama unataka kuendelea kutumia hiyo free (trial version) ni kuitoa katika simu yako na kuweka upya. Jinsi ya kuitoa fanya hivi: Uninstall hiyo app, then reboot simu yako, kisha nenda tena PlayStore ku-download upya hiyo app. Cha msingi ni kuhakikisha unaiondoa kabisa, una-reboot simu yako. All the best.
 
Wakati una install upya unatakiwa uwe na credi kwenye simu yako kama huna credit huwezi ku install
 
Unalipia on-line mkuu kwa kutumia zile process za kufanya on-line transactions kama pay pal na visa cards.
 
Habari zenyu wakubwa!!

Samahani.....kwa anaye fahamu anijuze hii huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi??????

Wamenifungia hii huduma mpaka niilipie,,,,,ni wapi niende nikalipie,,??nifahamisheni tafadhali!!

Online payments, Visa card, MasterCard, pay pal etc. Uta uninstal na kuinstal Mara 100 haisaidii kitu, unless ubadilishe namba yako ya simu. Your trial version has been expired.
 
Ku uninstall hiyo appl sio solution sahihi maana identification inafanyika kwa sim card hivyo hata kama utaweza kuuninstall halafu unatumia number ile ile itakuwa ni kazi bureee labda ubadilishe sim card nyengine kama unataka tumia ile ile unabidi ulipe tuuu.
 
Kulipa sio issue ndugu,,jambo dogo sana nachotaka kujua ni wapi inalipiwa?
 
Ingawa najua umepata mwanga labda niongeze haya yafuatayo na fuata maelekezo haya: Unaweza kununua hiyo app kama una bank account au namna nyingine yoyote ambayo inaweza kukuruhusu kununua online.
Njia rahisi ya kufanya kama unataka kuendelea kutumia hiyo free (trial version) ni kuitoa katika simu yako na kuweka upya. Jinsi ya kuitoa fanya hivi: Uninstall hiyo app, then reboot simu yako, kisha nenda tena PlayStore ku-download upya hiyo app. Cha msingi ni kuhakikisha unaiondoa kabisa, una-reboot simu yako. All the best.

Ahsante mkuu ngoja nifanye ivyo
 
Online payments, Visa card, MasterCard, pay pal etc. Uta uninstal na kuinstal Mara 100 haisaidii kitu, unless ubadilishe namba yako ya simu. Your trial version has been expired.

Ahsante mkuu!!!!
 
Habari zenyu wakubwa!!

Samahani.....kwa anaye fahamu anijuze hii huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi??????

Wamenifungia hii huduma mpaka niilipie,,,,,ni wapi niende nikalipie,,??nifahamisheni tafadhali!!

Unatakiwa uwe na visa au mastercard. Kuna kitu inaitwa google wallet ukirejista na visa au mastercard yako unaweza kulipa kama kawaida
Kupata huduma hizo nenda nbc, crdb, au exim ukapate hizo visa card
 
Ukifanikiwa mojawapo kati ya hizi njia ulizopewa na wadau utoe mrejesho mpendwa ili na sisi wengine yakitufika tujue how to go about it.
 
Hiyo hailipiwi bali inakuwa ime-Expire, hivyo unachotakiwa kufanya ni ku-Download upya katika simu yako kwenye Google. Ni hayo tu.
kama aliwahi kuitamburisha namba yake whatsapp na sasa muda wake umeisha hata aki download haitasaidia pengine abadilishe sim card .
 
Back
Top Bottom