Huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi tafadhali????

Huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi tafadhali????

Nishaidelete tayari hii niloambiwa niilipie na nimedownload nyingine mpya lakini bado inanipa hii sms kua napaswa kulipia $0.99

Yaan ata sielewi

hapo cha kufanya bibie sajili namba nyingine nadhani itakubali.
 
Ingawa najua umepata mwanga labda niongeze haya yafuatayo na fuata maelekezo haya: Unaweza kununua hiyo app kama una bank account au namna nyingine yoyote ambayo inaweza kukuruhusu kununua online.
Njia rahisi ya kufanya kama unataka kuendelea kutumia hiyo free (trial version) ni kuitoa katika simu yako na kuweka upya. Jinsi ya kuitoa fanya hivi: Uninstall hiyo app, then reboot simu yako, kisha nenda tena PlayStore ku-download upya hiyo app. Cha msingi ni kuhakikisha unaiondoa kabisa, una-reboot simu yako. All the best.

Ishu sio kuinstall upya..hata akibadilisha handset atapata the same error message.tatizo namba yake ya simu imeshatumia whatsapp kwa mwaka mzima kama trial version so ni lazima aingie mkataba upya kwa kulipia.atumie Viza au master card..ndio suluhisho..
 
After using WhatsApp for one year, you will be asked to pay. Prior to your subscription end date we will notify you that payment is necessary to continue using the app. You will not be automatically charged. Should you decide not to pay, simply hit [No] in the popup to pay at a later time.
To pay for your subscription:

  1. Open WhatsApp
  2. Press the [Menu button]
  3. Tap Settings
  4. Tap Account
  5. Tap Payment info
    csav3mx1ehs1jto

  6. Choose a payment option
Some mobile providers may have the ability to pay through your plan. If you do not see the ability to pay through your mobile provider, check this article for possible solutions for this problem. For more information on accepted Google Play Payment methods, see here.

After paying, it may take 3-5 days for your payment to be processed. You will then see your subscription extended either 1 year, 3 years or 5 years, depending on the option you have chosen previously.
If you want a detailed description of the payment options, take a look at Which payment options do I have?
Cheers,
WhatsApp Support Team
 
Habari zenyu wakubwa!!

Samahani.....kwa anaye fahamu anijuze hii huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi??????

Wamenifungia hii huduma mpaka niilipie,,,,,ni wapi niende nikalipie,,??nifahamisheni tafadhali!!

After using WhatsApp for one year, you will be asked to pay. Prior to your subscription end date we will notify you that payment is necessary to continue using the app. You will not be automatically charged. Should you decide not to pay, simply hit [No] in the popup to pay at a later time.
To pay for your subscription:

  1. Open WhatsApp
  2. Press the [Menu button]
  3. Tap Settings
  4. Tap Account
  5. Tap Payment info
    csav3mx1ehs1jto

  6. Choose a payment option
Some mobile providers may have the ability to pay through your plan. If you do not see the ability to pay through your mobile provider, check this article for possible solutions for this problem. For more information on accepted Google Play Payment methods, see here.

After paying, it may take 3-5 days for your payment to be processed. You will then see your subscription extended either 1 year, 3 years or 5 years, depending on the option you have chosen previously.
If you want a detailed description of the payment options, take a look at Which payment options do I have?
Cheers,
WhatsApp Support Team
 
Dah nishafanya ivyo mkuu ila bado inakataa inanipa sms kua natakiwa nilipie $0.99

Una kiherehere mno we ulijiunga mapema, maana they offer u free for a year haha sasa wanaraka chao, hamis fb
 
fanya kama alivyoshauri jerrytz,ndo uhalisia baada ya mwaka unawajibika kulipa
 
Last edited by a moderator:
Sio kama kuna sehem unakwenda kulipia unatakiwa kuwa na atm card ambayo inauwezo wa kufanya on-line transactions kama haina uwezo huo unaweza kwenda kwa bank husika ukawaambia waiwezeshe kufanya hivyo ni bureee.
 
Back
Top Bottom