Habari ndugu zangu.
Tunatoa huduma ya kupika majumbani chakula cha familia kuanzia breakfast, lunch hadi dinner.
Unaweza ukatukodi ukatuachia jiko lako na kutupa menu yako unayopendelea kwa siku hiyo nasi tukakupikia chakula kitamu katika hali ya usafi kabisa.
Pia kama una wageni nyumbani kwako usisite kututafuta.
Wale mabachelor mnaona uvivu kupika tupigie tukupikie chakula kizuri sio kila siku ule gengeni.
Wale slay queen msioweza kuingia jikoni tupo kwa ajili yenu kuhakikisha mnapata chakula kizuri cha nyumbani.
Tunapika kuanzia chakula cha mtu mmoja hadi watu 30.
Service charge ya upishi zinaanzia 15,000 na kuendelea kutegemea na idadi ya watu wanaopikiwa chakula.
Kwa maelezo zaidi piga 0624792393View attachment 1784525View attachment 1784526View attachment 1784527