Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Ishu ya flight mode ni ishu ya hardware nรญ ngumu sana kuitibu. Hata mm nna nokia yangu imekuwa kama IpodNani anaweza nisaidia kutoa airplan(flight mod) nokia lumia 630.
Pia nina nokia lumia 520 ambayo haiwaki kwa sababu nilirestor simu ikazima kabla ya kumaliza sasa tatizo lililo ibuka kukiiconnect chaja inakuletea maneno haya Reboot agence.
mkuu mbona kama unanikatisha tamaa inamaana simu yangu nitaitumia kama mp3 play tu hata nikiituma Dar kwa wajuzi haita pona. Maana mafundi wote wa huku mkoani wameshindwa. Nifanyeje sasa wakati simu sina mda nayo toka nimeinunua.Ishu ya flight mode ni ishu ya hardware nรญ ngumu sana kuitibu. Hata mm nna nokia yangu imekuwa kama Ipod

Unlock Code: 246 73 215
Iwashe ikiwa na laini tofauti
Itafunguka hii Page - 192.168.1.1/simlock.asp
Ingiza hizo Code. Done
Itanigharimu kiasi gani?
- Only 10'000 kwa tigopesa 0717 54 57 62 au airtelmoney 0784 496 856
- Karibu
vp kuhusu techno n2Jaribu hivi
1. Washa simu ikiwa na laini tofauti
2. Chagua "Emergency calls"
3. Piga 2945#*71001#
4. Kisha chagua "Netlock"
5. Kitajitokeza kiboksi cha kuingiza codes
Duh!!!Not supported
Oya nilisikia unaunganisha kifulushi cha mwezi voda kwa efu 2Nani anaweza kunifungulia modem yangu ya airtel isome mitandao yote?
Ni pm mkuuNahitaji MTK box kwa ajili ya kuunlock sim
DoneNi pm mkuu