Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

mwalimu, nina kivodafone tab 3G cha Vodacom network pekee.. ila hali ya sasa kama ujuavyo. vyuma vimekaza kidogo
 
Vipi Huawei E5373 zinazouzwa na tiGo?
 
Acha kupiga bei kubwa, elfu kumi inatosha, mbona simple tuhh kufungua na IMEI tatizo wabongo niwavivu kwenye mambo ya technologia.
 
Nani anaweza kunifungulia modem yangu ya airtel isome mitandao yote?
 
Nani anaweza nisaidia kutoa airplan(flight mod) nokia lumia 630.
Pia nina nokia lumia 520 ambayo haiwaki kwa sababu nilirestor simu ikazima kabla ya kumaliza sasa tatizo lililo ibuka kukiiconnect chaja inakuletea maneno haya Reboot agence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ