Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Vipi kuhusu simu ya alcatel tochi? Ina double line ila huwezi weka line nyengine ikasoma mpaka utangulize voda kwanza?
Je, waweza kuifanyia utundu ikawa free line zote???
 
Nina htc at&t tilt, nayo ipo locked, vip hio mkuu
 
Nina htc at&t tilt, nayo ipo locked, vip hio mkuu
Je ukiweka laini tofauti inakuletea ki_boksi cha kuweka codes?
- Pls angalia kisha nijulishe

Kama ni ndio basi inawezakana.

Kama ni hapana hiyo inahitaji software
 
Mkuu hivi vi Mi-Fi vya smile vinaweza chakachuliwa vipokee chip nyingine mbali na smile?
 
Mkuu hivi vi Mi-Fi vya smile vinaweza chakachuliwa vipokee chip nyingine mbali na smile?
Angalia kwenye stika je mtengeneza ji ni nani wa hiyo Mi-Fi
- Ni ZTE
au
- Ni HUAWEI

Nipe info zake kwenye PM
 
Jinsi ya kutoa pasword itel smartphone na tecno ambazo sio smart
 
hukunifungulia ni huawei y3II ya Tigo ama tatizo lilikuwa wapi?
Kwa simu zote za huawei kwa sasa zinahitaji 'software unlock' , Unlock codes hazipatikani kama ilivokuwa awali.

Hivyo waone mafundi simu kariakoo wataifungua kwa tzs 10,000 tu
 
Back
Top Bottom