Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

habar mkuu
nina Microsoft RM 1074 IMEI-35861606000612, imelokiwa na mtandao wa Australia Telstraone unaweza kui unlock?
 
habar mkuu
nina Microsoft RM 1074 IMEI-35861606000612, imelokiwa na mtandao wa Australia Telstraone unaweza kui unlock?
Pls recheck IMEI number, umeweka 14 digits.
 
habar mkuu
nina Microsoft RM 1074 IMEI-35861606000612, imelokiwa na mtandao wa Australia Telstraone unaweza kui unlock?
Taarifa za simu yako

IMEI: 358616060006120
Product code: 059X2H3
Internal name: RM-1074
Model: Microsoft Lumia 640 LTE
TELSTRA AU factory locked

Kitu cha kuzingatia - Unlock Attempt zisiwe zimeisha

Price
: 70'000
Waiting Time: 3 - 6 Days
 
Samahan mkuu hiii Vodafone smart tab 3g yenye Imei 355860064319344
Svn 040FNG2 inawezekana?? Maana inasoma laini ya voda tuuu aiseee.
 
Mim nna tatizo kidogo tofauti na ili kwa mwenye ufahammu kuusu ili anijuze.simu yangu ni samsung duos yani hata nikiizima kama betri nmeiacha kwenye simu inaisha chaji completely je nini chanzo na inaweza kupona?
 
Bila shaka ni tatizo la hardware. Ipeleke kwa fundi utafiti ufanyike.
 
Nina Vodafone , IMEI 357053067468023, naomba unitumie unlock code, inatumia Vodacom tu.
 
Nina Vodafone , IMEI 357053067468023, naomba unitumie unlock code, inatumia Vodacom tu.
Model: VF685
Brand: VODAFONE
IMEI: TAC: 357053 FAC: 06 SNR: 746802 CD: 3

Codes zako ziko tayari, Fanya malipo tsh 10'000 Tumia moja ya namba zangu kwenye post #1 kufanya malipo
 
Mkuu simu za haloteli je nazo unaziwezea..?
 
Ndugu Kigobo

Codes zako ni hizi

NCK: 31202648-81
NSCK: 33306803-56
SPCK: 32293398-67
CPCK/SIM: 30097041-33
CCK: 32864557-80
PCK: 27831967-05

Washa simu ikiwa na laini tofauti kisha ingiza NCK code: 31202648 TU, Kisha gusa OK

Done, simu yako iko tayari kwa matumizi ya laini yeyote.

KARIBU
 
Thanks Mkuu
 
Lumia 535
Model : RM-1089
IMEI: 355742064250564
Msaada wa kupata unlock code na gharama za kuunlock pamoja na muda wa kusubilia code yaani itachukua muda gani mpaka kupata unlock code nikiweka laini inadai enter unlock code
 
> Je inakuomba codes pindi uiwashapo ikiwa na laini tofauti? - Pitia post #1 kwa ufafanuzi zaidi
> Hakiki imei namba kama iko sawa! - Ninapata error kwenye system, inatakiwa ziwe digits 15, Ulizoweka ni digits 16
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ