Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Mkuu nina iphone5 ilikuwa yatumika UK sasa hapa bongo SIM is not valid
Je waifungua kwa bei gani?
 
Mimi nini tablet inatumia 3g doungle nitoeni ushamba wadau nafanyaje hapa ili nipate internet na huduma za simu?
 


  • Je simu yako ni ya NOKIA, LG, MOTOROLA au HUAWEI na inatumia laini moja?.
  • Je ukiweka laini tofauti kwenye simu; Moja ya haya maneno yanajitokeza ????
Network Unlock Code
SIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock code
SIM network unlock pin
SIM Service provider unlock pin
SIM network unlock pin/NP Code
SIM network subset unlock pin
SIM service provider unlock pin
Network control key
Phone Lock Unblock Code
Kama jibu ni ndio basi hii thread inakuhusu. Karibu

Je ni Jinsi gani ya kufungua(unlock) simu kwa kutumia unlock codes?

  • Kufungua(unlocking) simu kwa kutumia codes ni rahisi sana. Ili kupata unlock code kwa ajili ya simu inatakiwa utoe IMEI namba ya simu. Andika kwenye simu yako * # 06 # au kwa kuondoa betri kutoka kwenye simu yako utakuta IMEI namba imeandikwa.
imei_number.png
Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu yangu?
  • Fuata hizi hatua:
1. Nipatie model and brand mfano: Nokia N97 au HUAWEI ASCEND Y300, na IMEI number yako tu, kwenye comment ya hii thread
2. Nitakujibu comment kwa kuainisha gharama ya unlock code kwa simu yako.kumbuka Kila aina ya simu ina gharama yake.
3. Utafanya malipo ili kupata unlock code yako.
4. Muda wa kupata unlock code ni ndani ya masaa mawili (2) hadi 24(siku moja) inategemeana na aina ya simu yako.

Je ni simu zipi zinahusika katika hii huduma?

  • Ni zile tu ambazo ukiweka laini nyengine tofauti, mfano yaweza kuwa ni simu yako ni NOKIA, LG, MOTOROLA, HUAWEI,nk,ila inakutaka uingize unlock codes. Hii haihitaji uende ofisini kwa fundi ni wewe mwenyewe mahala ulipo unaweza fanyia unlocking simu yako. Kwa kuingiza unlock code ulizo nunua.

Kwa nini simu yako inapaswa kuwa unlocked?

  • Simu ambayo ni unlocked utaweza kuitumia kwenye mitandao mingine. Pia baada ya kusafiri nje ya nchi utaweza kuitumia kwenye mitandao na nchi husika. Vile vile ili Kuongeza thamani ya simu yako
kwa sababu inaweza kutumika kwa laini za simu tofauti tofauti.

Je, ni salama ku unlock simu yako kwa kutumia code itokanayo na IMEI namba yako?

  • Kufungua(unlocking) kwa njia ya code ni salama kabisa na ndio njia ipendekezwayo zaidi. Simu yako itakuwa salama bila kuathiri muundo wake wa programu. Pia hizi code hutokana na watengenezaji wa simu husika wenyewe.
----------------------------------------------------------------

UNLOCK SASA SIMU YAKO PENDWA YA HUAWEI
Y530NA Y330 KWA TSH 15'000 TU, ILI UTUMIE LAINI YEYOTE ILE

UTAPATA CODES ZAKO NDANI YA DAKIKA TANO (5)
---------------------
huawei_logo.jpg


----------------------------


Karibuni Sana kwa huduma bora na ya hakika.





HUDUMA NYINGINE

>>| Ninauza MPEG4, FULL HD Receiver > Click Haya Maandishi | Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver
>>| CCcam Accounts
jamiifprums_dec.jpg
VPN SERVICE
>> | TunnelGuru & PD Proxy [ Official Tanzania authorised Reseller ]

>>| Call /sms/ Whatsapp # 0784 496 856 ili kupta voucher code yako

naitaji hiyo kitu unayo unlockia simu.kinaitwaji.na bei yake inakiaje boss.0754604567
 
IPhone 6 locked under t-mobile usa. unaweza unlock niweze tumia kwenye airtel tz.
  • Inawezekana. Ni USD 75,
  • Whatsapp: +255 784 496 856
NB: Inatakiwa uwe na iTune ID/iCloud id yake
 
Back
Top Bottom