Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Mkuu hivyo vyote sina ni simu nimetumiwa na ndugu yangu kutoka ulaya. Msaada wako plseInawezekana iwapo tu una account yake ya itune/icloud kwa maana utapata unlock codes kama updates kupitia itunes
Karibu
Mkuu hivyo vyote sina ni simu nimetumiwa na ndugu yangu kutoka ulaya. Msaada wako plse
Niangalizie hii Huawei ascend y330
imei # 863963027225700
Natanguliza shukrani zangu.
- Nipe IMEI number, hii utaipata baada ya kubonyeza *#06#
- Je ipo locked kwa mtandao upi?
- Hii taarifa ya pili ndio itadetermine cost ya code zake
- Karibu
Soon nitakupa jibu
Fanya malipo kwa Tigopesa au Airtel Money, ndipo utapata unlock codes
KARIBU
Codes nitakutumia kwa namba yeyote utakayo penda, kisha utaziingiza kwenye simu yako
Huawei y530 imei 869563011452254
Hi,
please find below your unlock codes -
IMEI: 869563011452254
NCK: 2091228015360121
How to enter code...
1.
Turn on phone with different network sim card
2.
According to lock level type code from above
3.
DONE -Phone unlocked.