Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huawei y300-0100
imei: 863522026943638
  • Fanya malipo, ili upate unlock codes
  • Namba za malipo | tiGo 0717 54 57 62 ; AirTel 0784 496 856 ; Voda 0768 92 48 41
  • Baada ya kufanya malipo nijulishe kwa sms kuwa wewe ni Edgarcoco
  • KARIBU
 
Last edited by a moderator:
iPhone 3gs ios 6.1.6, bb 06.15.00 baada ya ku update na jailbreak still inatatizo la NO SERVICE/SEARCHING.....
Ni hudumie

..kawaida iPhone baada jailbreak hatua inayofuata lazima ipoteze NETWORK. Hivyo sisi tunahudumia matatizo ambayo matatizo ya mwanzo kwamteja na sivingine. Kama ulishafanya jailbreak sehemu nyingine hapa hatutatoa maelekezo nini ufanye.
 
Mkuu mimi nina samsung galaxy not3 imefuta imei niko mwanza jamaa wameshindwa je mtaalam unanisaidiaje hapo
 
Mkuu mimi nina samsung galaxy not3 imefuta imei niko mwanza jamaa wameshindwa je mtaalam unanisaidiaje hapo
  • Inawezekana kurudisha IMEI number
  • Ila sharti simu yako iwe Rooted
  • NBa pia lazima isiwe network locked
  • Kuna apps. ambazo inatakiwa uweke kwanza kwenye simu yako na kufuata maelekezo jinsi ya kufanya
Tumia hizi keyword katika GooGle search ili uweze fanikisha hilo.
  • "How to Recover IMEI in your Samsung Galaxy note III"
  • site:youtube.com "How to Recover IMEI in your Samsung Galaxy note"
​Copy hayo maandishi [colored] na paste kwenye google.com
​KARIBU
 
Mim natumia lg e405 ss natumia lin zot za TZ hii ipo poa au nikienda nje ya nch itazingua locked,msaad
 
Mim natumia lg e405 ss natumia lin zot za TZ hii ipo poa au nikienda nje ya nch itazingua locked,msaad

Haitosumbua, utaendelea kuitumia.
Karibu
 



Shukrani kwa taarifa yako. Kuna mengi ya mbinu inapatikana kwa kufungua simu ya mkononi. Lakini i wameamua kufungua code mbinu. I got code kufungua kutoka kwenye tovuti hii Simpleunlocking.com kisha unlocked simu yangu kwa urahisi.
 
embu jaribu hizi 20014153
afu nipe jibu kama zmefanya kaz Edgarcoco
  • HUAWEI ASCEND unlock codes huwa ni 16 digits
  • Mfano wake ni kama huu | SIM network unlock PIN: 150 230 101 243 8103 [ Bila space kati ya namba ]
  • ANGALIZO kwa wamiliki wa simu za HUAWEI | Kuingiza namba/ codes zisizo sahihi husababisha SIMBLOCK, na simu haitoweza kusoma laini ya aina yeyote tena
KARIBU
 
Mkuu nina simu Nokia Lumia 820 iko locked uk network, imei namba 354105054509855 unawza kuifungua? Asante
 
Mkuu nina simu Nokia Lumia 820 iko locked uk network, imei namba 354105054509855 unawza kuifungua? Asante
√ Inawezekana
√ Je ipo locked kwa mtandao gani.?
 
Unlock Huawei Y530
IMEI 869563011830227
 

Attachments

  • 1411625531457.jpg
    9.5 KB · Views: 194
Unlock Huawei Y530
IMEI 869563011830227
  • Habari yajo ndugu jmaginga
  • Cost ya halama ni TSH 25'000/-
  • Utaratibu wa kupata huduma ni kama nilivyoelekeza hapo juu. KARIBU
 
Last edited by a moderator:
mkuu 195,000 laini moja

ku unlock 25000

Dukani laini zote ni 220000 wapi usawa



laini moja tigo 130,000 single laini

ku unlock 10,000

dukani laini zote 140,000 au 150,000.
 
mkuu 195,000 laini moja

ku unlock 25000

Dukani laini zote ni 220000 wapi usawa



laini moja tigo 130,000 single laini

ku unlock 10,000

dukani laini zote 140,000 au 150,000.
  • Habari yako ndugu
  • Je unaushauri gani kwa ndugu zetu, jamaa zetu wenye simu za laini moja.?
 
Thanx nimeweza ku-unlock Huawei y530 sasa naweza kutumia mitandao yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ