UTNAGULIZI
SIMUCLIP ni huduma inayowarapa fursa wateja wa HALOTEL kufurahia video mbalimbali za kuchekesha, mambo muhimu ya soka, dondoo za mapishi, vikatuni, n.k kupitia simu zao.
JINSI YA KUTUMIA SIMU
-Tuma “ON” kwenda 15738 au piga *15738*1# kujiunga na Kifurushi cha siku
-Tuma “ON7” kwenda 15738 au piga *15738*7# Kujiunga Kifurush cha Wiki.
-Tuma “ON30” kwenda 15738 au piga *15738*30# Kujiunga kifurushi cha Mwezi.
-Jinsi ya kutumia huduma: Kutazama/kupakua/zawadi video kupitiahttp://simu.co.tz/
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha Siku: Tsh:180/Siku
-Kifurushi cha Wiki: Tsh: 900/Wiki
-Kifurushi cha Mwezi: Tsh: 3,000/Mwezi
-Gharama za video
-Mteja aliyejiunga: Bure kutazama video zote.
-Mteja asiyejiunga: Kutazama kwa demo za video sekunde 30 tu.
-Kupakua/Zawadi: Tsh:300/Video.
-Gharama za Data: Bure
JIUNGE NASI
Facebook:
VAS Halotel
WhatsApp:
0627 942 367
Email:
Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums:
HALOTEL VAS