Huduma kama za Sinza nazipata wapi Kimara

Nielewesheni mambo gani hayo anaongelea nimetoka jana nanjilinji kuja mjini.
huku kwetu hatulimi ila kila aina ya chakula inapatikana ikiwa tu una CASH kule kwenu vingine ni maelewano tu ila huku hata kuridhishana kimwili ni ngawila
 
Kuhusu kwenda na zana au bila zana hilo sifahamu ila baada ya kupima alikutwa ameathirika
dah inasikitisha mara nyingi dem unaemwamini ndio anakuua lkn kwa ao unajua aupo sehemu salama.ni vizuri umeshare tujifunze.
 
Me nahic nae atakuwa katok nyanjilinji utakulaje bila zana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akili huwa inahama ukiwa pale kati utajitahidi kujidhibiti mwanzoni ila baada ya kuzoeana unajisemea haina haja ya kutumia kinga I think she is okay au sitasimamia vidole ila ukinogewa unajikuta hadi kucha umesimamia !, kwa maelezo yako mshikaji alimchukulia demu kama kipozeo chake muda wowote akihitaji akajenga mazoea ikawa tabia pole kwake na familia yake!
 
Sasa wewe papuch pori unatafuna kavukavu?sisi tunazipiga hizo zenye vyeo vya H.I.V kama hatuna akili nzuri vile !condom!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanini hiyo story usiiandike kwa kirefu hapa,kuna watu utawasaidia watajifunza
Hakuna cha kujifunza !hapa ni kuorodhesha maeneo ya burudani anayetaka ushauri nasaha aanzishe uzi wake tutamfuata huko msituharibie mood!we karne hii bado unapiga pekupeku dame wa "jalalani"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…