BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Wakuu,
Mimi ni mteja wa mkubwa wa Ambiance (Yale mambo yetu) maana sinza ndio makazi yangu makuu
Sasa siku hizi nakuwa nakosa nafasi kabisa ya kwenda kununua sinza kwakuwa nimekuja kimara kumuuguza bro angy, naomba kufaham kama kuna mahali huku maeneo ya kimara wanatoa huduma hiyo.
Asanteni wajuzi wa mambo