Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Nimechungulia kapu la utafiti kubaini chanzo chake........
Nimechungulia kauli lukuki kuainisha ni nini haswa.........
Nimechungulia kwa mhusika mwenyewe anijuze kulikoni....
Nimechungulia kila kona lakini majibu utata mtupu.......
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?
Taarifa za uchunguzi huu hazitoi mwanga hata chembe....
Taarifa nyingine zakoroma hii ni dalili ya mnyanyaso utotoni...
Taarifa za mtaani kunisakizia ati ni matunda ya kazi yangu!
Taarifa za wapambe kushinikiza ni ushirikina wa wabaya wake!

Angelikuwa anajikojolea kila siku ningeona ni ugonjwa tu..
Angelikuwa ni mkavu baada ya mechi ningesema pengine unguli ni tiba.....
Angelikuwa nyan'ganyan'ga kabla ya mechi tu ningesema pengine amefanywa.....
Angelikuwa hudodesha kitanda siku moja moja tu ningehisi bakhati mbaya
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?..