Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Mi nilidhani atajenga bonge la house kumbe mashauzi tuuuuuuyuu
Mi nilidhani atajenga bonge la house kumbe mashauzi tuuuuuuyuu
Hongera yake mana kuna wengne hata kiwanja cha robo awana
Mi nilidhani atajenga bonge la house kumbe mashauzi tuuuuuuyuu
Onesha yako...watu wengine banaa
Hiv unamjua huyu mdada au? ??!!boss lady wa Kenyaa auu humjui mim yangu hiyo cha mtoto mbona pm nikuoneshee
Nilianza kukafaham kakiwa Big brother.. kana tabia chafu, kagomvi, less intellectual ila kazuri.