Huddah Monroe licha ya kutoa picha za utupu mtandaoni na kutoishiwa na skendo nchini Kenya...

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
hhh_full.jpg


Kwa watu wengi, Huddah Monroe anaonekana kama msichana anayefikiria kula bata tu huku masuala ya msingi katika maisha akiyaweka pembeni.

Mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Afrika mwaka huu, leo amethibitisha kuwa pamoja na kuonekana mara nyingi akifanya starehe, bado anaikumbuka famiilia yake na moja ya mafanikio aliyoyafanya mwaka huu ni kuijengea nyumba familia yake.


“One of my biggest achievements this year.I am a proud daughter....I'm all teary. Family first,” ameandika Huddah kwenye picha aliyopost Instagram ya nyumba aliyoijenga kwaajili ya familia yake.


“Family first! How u grew up doesnt matter ,what u do with the rest od ur life matters and its funny how People still stuck in my past when the world moved on,” ameandika kwenye picha nyingine.

Hongera Huddah.

 
Mi nilidhani atajenga bonge la house kumbe mashauzi tuuuuuuyuu

Na asingejenga kabisa? Anastahili pongezi maana vijana wengi wenye pesa upanga nyumba na kununua magari tu.
Marehemu Kanumba alikufa bila nyumba. Ray, jackline wolper. Uwoya etc wote hawana nyumba. Wana magari ya bei tu
 
[h=3][/h]

Mwanadada nguli wa picha za ajabu aja na kali ya siku instagram , aamua kupost picha ikimonesha makalio yake live bila chenga na kufunguka kuwa hata hamwogopi mtu....duuuh kweli ni hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...​
 
Jamani ndiyo maana Abiudi aliimba mungu siyo mwanadamu laiti kama angekuwa mwanadamu wengine wesinge pata hata tone la maji....
 
Nilianza kukafaham kakiwa Big brother.. kana tabia chafu, kagomvi, less intellectual ila kazuri.
 
Sawa kuzaliwa binadamu ni nusu uchizi hata mm nna mapungufu yng ila uyu nahisi hata muumba anajiuliza km kwl kamuumba yy au kuna kono la shetani hapa binti kujisitiri kwake utata baradhuli kwl.
 
kanayauza dola ngapi tuongee biashara? maana biashara matangazo naye kaamua kutangaza
 
tatizo mademu wengi wa uswahilini hawapo instagram...ingekuwa shida!maana unakuta mtoto kavaa gauni laini ila ---- linavyotikisika ni balaa si kama hawa kina huddah wanaolazimisha ------ yaonekane
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom