Hubert Kairuki hospital kuna tatizo

Kama Ni kweli hospitali hii inajimaliza yenyewe.kama Ni kweli Basi wahusika wabadilishe utawala mapema,utawala Ni mbovu kuliko.kwa vyovyote vile muhimu uchunguzi ufanyike isijekuwa Ni swala la kuharibiana biashara
 
Kwa ufupi ukiambiwa unahitaji ufanyiwe upasuaji wowote ule pale Kariuki please nenda katafute 2nd opinion .... pale ni pa kwenda kutibu malaria tu na kuondoka ...
 
HK Hospital ni majengo, lakini services zao zina walakini sana... Last year, sister wangu alikuwa mjamzito, akawa anahudhuria clinics zake pale, during those sessions, wakamwambia kuwa placenta imetangulia lakini wakampatia dawa za kutumia ili kurekebisha hiyo hali.

Mimba ilipofika miezi 8 na wiki 2 akapata maumivu chini ya kitovu, ilikuwa usiku, akaenda pale hospitali kama saa 9 usiku, akawa admitted, akapewa dawa za maumivu, Dr wake (somebody Mchomvu) alipokuja asubuhi akamfanyia ultra sound akamwambia kuwa placenta bado imetangulia na mtoto ame-engage... (ameshaanza kushuka), lakini akamwambia kwamba watampa dawa nyingine ili mtoto arudi vizuri na placenta itarudi kama kawaida, ilipofika saa 6 mchana akaanza bleeding... akapelekwa theatre... baada ya hapo ni kumshukuru mungu tu kwamba aliponea chupuchupu baada ya kukaa theatre 5hrs hivi, ingawa mtoto hakuishi.... Dada alitolewa theatre saa 11 jioni akawekwa ICU, kwanza alikuwa hajazinduka lakini pia akawa bado anableed kiasi kwamba kitanda chote kikawa kimelowa damu. Ikabidi tumtafute huyo Dr wake, alipokuja akamfanyia procedure nyingine tena hapo (akamsafisha tena tumbo) ndo bleeding ikaacha, which seems hakusafishwa vizuri kule theatre.

Tulipomuuliza Dr sababu, akasema ni bahati mbaya mgonjwa wetu alipata Placenta Abruption, they did their best kumuokoa na lililobaki ni kumuombea tu mungu. Mgonjwa wetu alizinduka kesho yake saa 2 asb akiwa amevimba mwili mzima, then baada ya siku 2 akaanza tena bleeding, Dr. akamwabia kuwa inawezekana uterus haikufunga vizuri, akampa vidonge 3 ameze, alipomeza tu akaanza kutetemeka kama mwenye kifafa, Dr mwenyewe (Mchomvu) akachanganyikiwa akakimbia, ikabidi aje Dr mwingine amuwekee drip, then after a while akatulia. Sasa huyo Dr wa pili akataka kujua ni dawa gani alipewa, alipoelezwa na nesi kwanza akashangaa, kisha akasema kwamba hizo dawa huwa hazimezwi, zinakuwa administered per rectum, na zime-react kwa sababu wamekosea matumizi.

Kwa kweli, inasikitisha... lakini ndio Ma Dr's wetu

Respect
Dr.Mchomvu ameshapitwa na wakati sana i can presume his age is approaching 80 yrs of age
 
Kuna barua inazunguka ikionesha sasa wanalaza watu kwa laki 6 hadi 8 kwa siku eti kwa matatizo ya kupumua.
Wizara ya Afya na Muhimbili ndo wanaiweka hospitali hii kwenye ramani na sasa wanajidai ni chuo cha udaktari. Wengi wana vipindi hapo na wanaitetea bila sababu ya maana zaidi ya kipato wanachokipata hapo.
 
Back
Top Bottom