Huawei yajidhatiti

May be. Ila Dunia ya sasa ipo huru sana. Hao fasebuk twita, IG ni wafanya Biashara. Wanatafuta Fursa ipo wapi na wanaitumia. Sidhani kama Marekani atakuwa na say juu apps Social networks ambazo ni za US
 
Yule mzee CEO wao alisema kuwa Marekani isiwa underestimate.Yaani isiwadharau.Nahisi kuna kitu wanacho.
Hawa jamaa wasipo angalia hili ndo anguko lao,,Yani kama nawaona vile..Wacha tuone mtanange unakuaje..Tunaanzia kwenye P40
 
Full hila kutoka kwa USA.No fair trade.Balaaaaaa
 
Full hila kutoka kwa USA.No fair trade.Balaaaaaa
Marekani alipandisha kodi kwenye bidhaa za kichina zenye thamani ya 200 bilion. Mchina naye akaja ku resoond kuzipandishia bei bidhaa za marekani zenye thamani ya bilion 50 hivi,

marekani aka panic akamtaka mchina aondoe izo kodi otherwise marekani itamuwekea kikwazo, nahisi hii ndio ilichochea mpaka google apige ban huawei
 
Duuuuuuuuu
 
May be. Ila Dunia ya sasa ipo huru sana. Hao fasebuk twita, IG ni wafanya Biashara. Wanatafuta Fursa ipo wapi na wanaitumia. Sidhani kama Marekani atakuwa na say juu apps Social networks ambazo ni za US
Hahahaha...! Even Google ni wafanyabiashara pia..

Na kwa hii mess Google wanaloose($ billionns) sana tu, sabb hii huduma waliyositisha kuitoa kwa Huawei haikua for free...

It is not abt being a business man mkuu, ishu ni sheria za nchi zinasemaje.. As long uko kwa nchi hiyo your full binded..

So far Huawei has been blacklisted na US kwenye mahusiano ya kibiashara implying hakuna mfanyabiashara wa US anaruhusiwa kuwa na mahusiano yeyote ya kibiashara na Huawei...!
 
Apk ni extension ya application zinazofanya kazi kwenye OS ya android. kama ilivyo .exe kwa windows au .sh/.deb kwa linux mfano ubuntu kwa nilicho kielewa kwa huawei sio kwamba application zao zitakua za .apk bali wakati unacompile application ya android unaweza kucompile ili kutengeneza application ya huawei ambayo huenda ikawa labda ni .tzn hivyo hautahitajika kutengeneza system mpya bali kufanya maboresho machache na kufanya ifanye kazi kwenye huawei pia.
 
Na kwenye Processor napo wanatokaje?
Wanayo ya siku nyingi tu mbona.... Inaitwa HiSilicon Kirin inafanya kazi vizuri tu ani na wanaitumia sana kwenye simu zao za kisasa, Qualcomm, Snapdragon washachana nayo muda sana...
 
 
Wanayo ya siku nyingi tu mbona.... Inaitwa HiSilicon Kirin inafanya kazi vizuri tu ani na wanaitumia sana kwenye simu zao za kisasa, Qualcomm, Snapdragon washachana nayo muda sana...
Hapana mkuu,Hiyo kirin,huawei anapata ARM's architecture license, ndio anafanya modifications kwa ajili ya platform zake

Sasa ArM wamekata deal na huawei,inamaana hakuna support tena..

Chukulia huawei p30 pro iko powered na kirin 980 ambayo ni ARM's Cortex A76 na A55 core.
Kwaiyo pasipo ARM architecture license huawei hawezi tengeneza simu.
 
Kama wanasema kuwa wamejipanga,basi tuwe watazamaji
 
Duh! Kazi ipo sasa...
 
Mkuu tatizo sio la Google na Huawei, Ni tatizo la serikali ya Marekani na Huawei. Google yeye anafuata tu maelekezo.

Na Huawei kapigwa marufuku kutumia tech zote za marekani inamaana hata windows na cpu za intel hawezi tumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…