Jamaa ana akili sana, majibu mazuri sana, angepata na support ya Malcom Lumumba nafikiri hata ambao si mashabiki wangepata elimu ya bure.Huyo jamaa ni noma sana, nimempa likes kibao lkn hata sichoki kwa kadri ninavyozidi kusoma comments zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee acha tuu nimekuwa mtu wa kupita na kumpa Like kama zote. Ila huyu mkuu Mkuu @ Yonga na mwalimu wangu Mkuu @ Malcom Lumumba hawana tofauti kabisa.Huu Uzi toka mwanzo nilitaka kuleta ushabiki na fix lkn nilivyosoma comment nikagundua huu Uzi unaitaji akili kubwa na fact
Wewe ni mmoja kati ya ma GENIUS umetoa bonge wa comment aise umewazidi wote
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kumbe tupo wengi, huyu jamaa ni nyokoDah na mimi namfatilia huyu jamaa majibu yake hadi naona napata shule ya bure bila ada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wake anaweka vikwazo vitu vya kijinga atamzuiaje mtu asinunue hata mifumo ya kujilindaHahahahaha weye ukauze bidhaa zako nchi A bila masharti na ni soko lako kubwa sana kuliko nchi yoyote ile duniani, na nchi A ikitaka kuja kuuza bidhaa zake kwako uanze kujibaraguza na masharti ili upate technology kwa kuforce kupitia mlango wa nyuma. Amka mkuu this is 2019 scratch my back I’ll scratch yours otherwise WE DONT PLAY.
That is very true mkuu na waliiba pia kwa Britain ambaye alikua superpower kwa zaidi ya miaka 100Nothing is fair in this world bro and industrial espionage is is the new thing...end are the days to send spies for military gains..even USA become superpower because of technology transfer from German jews
Ubaya wake anaweka vikwazo vitu vya kijinga atamzuiaje mtu asinunue hata mifumo ya kujilinda
Marekani ni taifa na lina influence na limebadilisha sana ulimwengu na tech sana na limetufanya tumerahisisha sana maisha kwenye kupitia technology and we respect that,lakini iache watu wafanye biashara zao na affairs zao kama kawaida
mfano kuna haja gani ya kwenda kutaka kuipiga Venezuela?
Hili suala la china hawa USA walivyo peleka viwanda kule hawakusoma mikataba hiyo kwa nini wasinge peleka hiyo mikataba nchi nyingine zenye masharti nafuu ina maana hawakuona madhara yake baadae maana jamaa huwa wanafikiria sana mbali je kwa china walichemka?
Nimekuuliza swali lakini nataka nikupe jibu lake hapa hapa kwa nini USA walienda China ilihali kulikua na masharti lukuki
Sababu kubwa kabisa USA ilikua inamsaidia china ili kui undermine Soviet union ya kipindi kile,soviet union ndio ilikua mwiba na rival mkubwa wa USA kiuchumi na ki technologia kumsaidia china kulifanya kuwe na balance kule bara Asia
Sasa mwanafunzi kawa monster kwa mwalimu wake leo hii russia wanaungana na China ili kumkabili USA na ni sababu tu USA anatoa vikwazo kwa hawa wote wawili
Karata iliyobaki ili kuiharibu uchina ni kuisaidia india kwa kila namna shida tu ya India wana population kubwa isiyokua na elimu ya kutosha kama china
India ikipaa kiuchumi itakua ni rahisi sana kumu undermine china kama USA akitia mkono wake na ndio maana kama umechunguza vizuri USA huwa hasemi kitu kuhusu nuclear za india akijua wazi kabisa huenda siku India na China wakapigana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa waliwatoa Russia kwenye list ya developed countries kisa issue ya Crimea
Ubaya wake anaweka vikwazo vitu vya kijinga atamzuiaje mtu asinunue hata mifumo ya kujilinda
Marekani ni taifa na lina influence na limebadilisha sana ulimwengu na tech sana na limetufanya tumerahisisha sana maisha kwenye kupitia technology and we respect that,lakini iache watu wafanye biashara zao na affairs zao kama kawaida
mfano kuna haja gani ya kwenda kutaka kuipiga Venezuela?
Hili suala la china hawa USA walivyo peleka viwanda kule hawakusoma mikataba hiyo kwa nini wasinge peleka hiyo mikataba nchi nyingine zenye masharti nafuu ina maana hawakuona madhara yake baadae maana jamaa huwa wanafikiria sana mbali je kwa china walichemka?
Nimekuuliza swali lakini nataka nikupe jibu lake hapa hapa kwa nini USA walienda China ilihali kulikua na masharti lukuki
Sababu kubwa kabisa USA ilikua inamsaidia china ili kui undermine Soviet union ya kipindi kile,soviet union ndio ilikua mwiba na rival mkubwa wa USA kiuchumi na ki technologia kumsaidia china kulifanya kuwe na balance kule bara Asia
Sasa mwanafunzi kawa monster kwa mwalimu wake leo hii russia wanaungana na China ili kumkabili USA na ni sababu tu USA anatoa vikwazo kwa hawa wote wawili
Karata iliyobaki ili kuiharibu uchina ni kuisaidia india kwa kila namna shida tu ya India wana population kubwa isiyokua na elimu ya kutosha kama china
India ikipaa kiuchumi itakua ni rahisi sana kumu undermine china kama USA akitia mkono wake na ndio maana kama umechunguza vizuri USA huwa hasemi kitu kuhusu nuclear za india akijua wazi kabisa huenda siku India na China wakapigana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Apple ana plan B, ambayo ni India, haitamsumbua sana.
unasemaje anaongoza market share halafu hapo hapo ukasema alipitwa?... ina maana haongozi.... msitulishe matango pori nyinyi
Bhas kama China imeamua kuban companies za Marekani zinazohusiana na mitandao ya kijamii kwa kisingizio Cha kuvurugika kwa amani nae Marekani ameamua kuban Huawei kwa kuhofia kudukuliwa na serikali ya China,Sasa hapo tatizo liko wapi?!Kwanza umesahau kwamba China ni nchi ya ki socialist japo kwa sasa wanaita political capitalism na ndio mfumo waliojichagulia huwezi kuwaingilia kama tu USA walivyochagua ubepari uliokomaa
Kwa maana hiyo basi,china kule wana control sana tech zinazo husiana na social media na ndio maana umeona hapo kampuni nyingi zilizopigwa marufuku ni zile za social media ambazo zinaweza zikachochea vurugu kama za arab spring zile kwa kuona hivyo china nao wakatengeneza za kwao ili wazi control vizuri amini usiamini hata Tanzania ya sasa wangeweza kutengeneza whatsapp yao au Google ungesikia Google ya usa imepigwa ban
Kiukweli kabisa vyombo vya usalama vya USA vinatumia sana social media kuvuruga nchi zingine sasa naona china waliona mbali wakapiga ban hizo kitu kumbuka china sio nchi ya democracy kama USA na huwezi kuwalazimisha kwa hilo.
Uchumi wao umejengwa kwa kutokua na democracy
Jiulize mbona hawaja ban company kama boeing,airbus,kampuni za kilimo,banks,kampuni za gas na mafuta na vifaa vingine kama magari mbona hizi hawaja ban?
Kwa nini wame ban company zinazo husiana na social media hapa jamaa wameoa mbali sana kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile bomba la gas litawafanya Ulaya wawe watumwa kwa Urusi,nadhani unakumbuka kipindi kile Cha mgogoro wa Ukraine jinsi ambavyo Urusi alikua akizipiga biti nchi za Ulaya kuhusiana na gas yake. Urusi aliamua kutumia gas kama silaha kuwachapia Ulaya Sasa Marekani anataka kuweka alternative kwamba akisusa bhas Gas ya Marekani itakuwepo,Kuna ubaya?!Kwa sasa USA inakurupuka sana kila kitu ina ban tu hadi ma bomba ya gas daaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Tanzania Uchumi wetu wa miaka ya 1980 ni tofauti ukilinganisha na hii leo,hii ni kwamba GDP na PPP imeongezeka ukilinganisha na kipindi kile. Hivyo hiyo ni kawaida tu sababu nchi nyingi zimekua kiuchumi ni lazima share ya USA kwenye Uchumi wa Dunia ishuke,hamna Cha ajabu hapo.Ukichukua GDP peke yake kabla hujaweka PPP unakua hujaelezea uchumi vizuri wa nchi husika ndio maana hata IMF huwa wanaangalia uchumi uliobase kwenye nguvu ya manunuzi(purchasing power parity)
Kwa GDP peke yake USA ina global share ya 24% ila nilichokua ninazungumzia mimi ni GDP based on PPP ambayo ni indicator iliyokomaa zaidi kwenye kuelezea uchumi wa nchi
According to IMF GDP based on PPP USA ana 17% ya global economy
Hawa jamaa wajanja mno mwaka 2016 walivyozidiwa PPP na china wakabadili gear angani wakaanza kusema PPP sio kigezo kizuri cha kiashiria cha uchumi na wakati hapo mwanzoni ndio ilikua kigezo kikubwa kabisa chaku onyesha uchumi wa nchi husika,wakadai kigezo kizuri ni GDP na wala sio ile per capita kama zamani iliyokua,siku wakizidiwa GDP sijui itakuwaje
Zamani kabisa ilikua ukiwa mtumiaji mkubwa wa nishati duniani wewe ndio unakua na kiashiria cha uchumi mkubwa na ulioimarika waliyopitwa wakatoa hiyo kwenye makaratasi,ni fitna juu ya fitna
View attachment 1040632
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unafikiri LNG ya US inaweza kuuzwa Ulaya kwa faida? Watu wafanye liquefaction, transportation halafu wairudishe kwenye gaseous state, ndo watumie, hizo gharama zote utalipa wewe? Wakati ya Urusi unafungua tu bomba gesi inatoka.Sasa Marekani anataka kuweka alternative kwamba akisusa bhas Gas ya Marekani itakuwepo,Kuna ubaya?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Poland ni kitambo sasa wanatumia LNG ya USA tena wanataka kuachana kabisa na ile ya Urusi na pia wanapinga ujenzi wa hilo bomba.Yaani unafikiri LNG ya US inaweza kuuzwa Ulaya kwa faida? Watu wafanye liquefaction, transportation halafu wairudishe kwenye gaseous state, ndo wauze, hizo gharama zote utalipa wewe? Wakati ya Urusi unafungua tu bomba gesi inatoka.
Usifikiri wajerumani wajinga kufanya hivyo, Jiografia inampa Urusi the upper hand na hayo mambo ya kutumia nishati kama silaha ni propaganda tu, kumbuka Ujerumani ndiyo taifa lenye akili Ulaya.
Poland wamesign hiyo deal juzi juzi tuu. Na hii yote ni fitna tuu, hakuna biashara pale bali inatafutwa influence katika eneo husika.Mbona Poland ni kitambo sasa wanatumia LNG ya USA tena wanataka kuachana kabisa na ile ya Urusi na pia wanapinga ujenzi wa hilo bomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka huawei wamesema hawana uhusiano na serikali ya china! Hivyo wakijaribu kufanya hivyo kina Xi jinping watathibitisha moja kwa mbili kuwa Huawei inafanya kazi na serikali ya chinaKuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema haijaongezeka tunachozungumzia hapa ni global share ya us economy inazidi kushuka kila mwaka kwa sababu kuna emerging economy zinachupika sasa hicho naona bwana mkubwa USA hakipendiHata Tanzania Uchumi wetu wa miaka ya 1980 ni tofauti ukilinganisha na hii leo,hii ni kwamba GDP na PPP imeongezeka ukilinganisha na kipindi kile. Hivyo hiyo ni kawaida tu sababu nchi nyingi zimekua kiuchumi ni lazima share ya USA kwenye Uchumi wa Dunia ishuke,hamna Cha ajabu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzuia iPhone kutakua hakuna mahusiano yeyote na huawei,hiyo kama watazuia watafanya hivyo kwa pretext ya trade tension iliyopo kati yaoKumbuka huawei wamesema hawana uhusiano na serikali ya china! Hivyo wakijaribu kufanya hivyo kina Xi jinping watathibitisha moja kwa mbili kuwa Huawei inafanya kazi na serikali ya china
Ile ni pure business project hujui kama Ukraine anapata transit fee za ile gas?Lile bomba la gas litawafanya Ulaya wawe watumwa kwa Urusi,nadhani unakumbuka kipindi kile Cha mgogoro wa Ukraine jinsi ambavyo Urusi alikua akizipiga biti nchi za Ulaya kuhusiana na gas yake. Urusi aliamua kutumia gas kama silaha kuwachapia Ulaya Sasa Marekani anataka kuweka alternative kwamba akisusa bhas Gas ya Marekani itakuwepo,Kuna ubaya?!
Sent using Jamii Forums mobile app