Wamegundua paper making,compass,gunpowder na printingMarekani hakuwahi kujisahau kwenye uchumi hata mara moja,hiyo China yenyewe leo imekua tajiri sababu ya Marekani maana kampuni nyingi zilizo China ni za Marekani. Na sasa gharama za uzalishaji nchini China zinaanza kua juu pia na hii inapelekea kampuni nyingi kuhamisha shughuli zao za uzalishaji kwenye nchi nyingine jirani kama Vietnam, Indonesia,nk. Pia trade war nayo imechangia kampuni kuhamisha shughuli zao nchi nyingine. Na kwa sasa uchumi wa China umeshaanza kupungua nguvu/Kasi ya ukuaji kutokana na kupungua kwa export,nk.
Embu mkuu nitajie teknolojia hata moja iloyogunduliwa na China?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini iwe great again ina maana kuna sehemu ili lose au trump mmarekani anamaanishaSera yake ya kumake America great again imeleta mafanikio,uchumi unakua na baadhi ya viwanda vinaanza kufunguliwa tena kuanza uzalishaji (mfano,vya chuma/alumini), Mexico-canada-usa trade deal,nk.
Kuidhibiti China kuendelea kuiba teknolojia za kampuni za kigeni hasa za Marekani,na bado anataka WTO ifumuliwe iundwe upya sababu ni kama inaionyonya Marekani kumbuka kwenye WTO China anatambulika kama nchi inayoendelea na sio iliyoendelea wakati ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua na patent nyingi sio kigezo Cha kuendelea kiteknolojia ila matokeo ya hizo patents.Wamegundua paper making,compass,gunpowder na printing
Kwa sasa china ndio nchi inayo file patent nyingi zaidi kuliko zote duniani
Hata Marekani ilitajirika kupitia ulaya na Africa,Ulaya nayo ilitajirika kupitia Africa.
Au umesahau historia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo tafsiri ni kwa mujibu wako!!Kwa nini iwe great again ina maana kuna sehemu ili lose au trump mmarekani anamaanisha
Hivi mimi nikisema sasa nitahakikisha nina kua na akili tena ina maana kuwa kwa sasa sina akili au zimepungua na ninataka nirudi kama zamani
Au una tafsiri vipi hiyo sentensi ya trump
Economic depression iliyotokea USA walikua hawajakosea kwenye uchumi wao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matango pori meengi.Kua na patent nyingi sio kigezo Cha kuendelea kiteknolojia ila matokeo ya hizo patents.
Leo hii bila Marekani pengine tusingekua na internet duniani ambayo imekuja kurahisha maisha na pia kuleta maendeleo.
Ulaya haikutajirika kupitia Africa ila mapinduzi ya viwanda na teknolojia na wala Marekani haikutajirika kupitia Ulaya.
Ugunduzu wa teknolojia ndo zimewafanya Leo wawe hapo walipo!
NB: China haijagundua Compass wala paper making
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bila namba za misri huenda tusingekua na computer kabisa maana computer ni zeros and ones.Kua na patent nyingi sio kigezo Cha kuendelea kiteknolojia ila matokeo ya hizo patents.
Leo hii bila Marekani pengine tusingekua na internet duniani ambayo imekuja kurahisha maisha na pia kuleta maendeleo.
Ulaya haikutajirika kupitia Africa ila mapinduzi ya viwanda na teknolojia na wala Marekani haikutajirika kupitia Ulaya.
Ugunduzu wa teknolojia ndo zimewafanya Leo wawe hapo walipo!
NB: China haijagundua Compass wala paper making
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa tu na huawei walisema haita enda kwenye nchi ambazo hawata karibishwa.
Shida ya usa wana pressure wengine nao wamuunge mkono kuigomea huawei kwa interest zake
Jana wametoa statement kwamba India isinunue mafuta kutoka Venezuela na nchi nyingine nazo zifuate hivyo yani USA akikataza kitu kwa interest zake anataka kila mtu afanye hivyo au Venezuela naye ana nuclear kama iran nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jisomee mwenyewe.Kua na patent nyingi sio kigezo Cha kuendelea kiteknolojia ila matokeo ya hizo patents.
Leo hii bila Marekani pengine tusingekua na internet duniani ambayo imekuja kurahisha maisha na pia kuleta maendeleo.
Ulaya haikutajirika kupitia Africa ila mapinduzi ya viwanda na teknolojia na wala Marekani haikutajirika kupitia Ulaya.
Ugunduzu wa teknolojia ndo zimewafanya Leo wawe hapo walipo!
NB: China haijagundua Compass wala paper making
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo teknolojia za miaka ya manabii hata Africa tuligundua zetu,hata Egypt walijenga pyramid. Tunazungumzia teknolojia za zilizoleta mapinduzi duniani,kama vile internet,nk
Wamarekani wenyewe wanaamini nchi ipo kwenye decline we nani ukatae
Hayo ni maneno tu ya wanasiasa!Wamarekani wenyewe wanaamini nchi ipo kwenye decline we nani ukatae
Mara ya kwanza trump alitumia neno We will make America great wajuzi wa mambo wakamwambia ukisema hiyo kauli itaonekana hawajawahi kuwa great kwa hiyo wakamshauri aweke hilo neno again ili ijulikane kwamba taifa lao limeisha wahi kuwa great kabla ya hapoView attachment 1044283View attachment 1044284View attachment 1044291
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ukweli wenyewe huo unadhani wanasiasa huwa hawa maanisha wanachokisema?
Hakuna mtu mwongo kama mwanasiasa,hata akikwambia saa hizi ni Asubuhi toka nje ukathibitishe usikute ni saa 5 usiku!!Ndio ukweli wenyewe huo unadhani wanasiasa huwa hawa maanisha wanachokisema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hizo hizo zimetufanya tufike hadi leo hii hapa tulipo,hatua hatua milllion zinaanza na hatua ya kwanzaHizo teknolojia za miaka ya manabii hata Africa tuligundua zetu,hata Egypt walijenga pyramid. Tunazungumzia teknolojia za zilizoleta mapinduzi duniani,kama vile internet,nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli ukiulizwa teknolojia zilizoleta mapinduzi karne hii utataja teknolojia za zama za Yesu kweli?! Embu kua serious bhas Mkuu!!Ndio hizo hizo zimetufanya tufike hadi leo hii hapa tulipo,hatua hatua milllion zinaanza na hatua ya kwanza
Kwa hiyo hesabu hazijaleta mapinduzi duniani,hivi unakisia unachokiongea kweli
Hata miaka ya mbele huko karne zijazo tunaonekana sisi ni primitive vile vile kama tunavyo waona watu wa zamani
Pyramid zenyewe hizo mpaka leo ni kitendawili kwa wana sayansi wa leo kwamba zilijegwaje,walitumia tech gani kupandisha yale mawe kule
It is an extreme engineering,leo hii unadhani na wakati hao hao ndio waliotufundisha hadi irrigation
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu wewe umesoma historia wapi?Kua na patent nyingi sio kigezo Cha kuendelea kiteknolojia ila matokeo ya hizo patents.
Leo hii bila Marekani pengine tusingekua na internet duniani ambayo imekuja kurahisha maisha na pia kuleta maendeleo.
Ulaya haikutajirika kupitia Africa ila mapinduzi ya viwanda na teknolojia na wala Marekani haikutajirika kupitia Ulaya.
Ugunduzu wa teknolojia ndo zimewafanya Leo wawe hapo walipo!
NB: China haijagundua Compass wala paper making
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hata hiyo hata hatua anazo zichukua trump hauziamini kwa kua yeye mwanasiasaHakuna mtu mwongo kama mwanasiasa,hata akikwambia saa hizi ni Asubuhi toka nje ukathibitishe usikute ni saa 5 usiku!!
Sent using Jamii Forums mobile app
zimechangia wa kiasi kikubwa kabisa maendeleo tuliyonayo sasaHivi kweli ukiulizwa teknolojia zilizoleta mapinduzi karne hii utataja teknolojia za zama za Yesu kweli?! Embu kua serious bhas Mkuu!!
Hata waafrica tulikua na teknolojia ya kuwasha moto kwa kutumia vijiti vya uwimbombo na ulindi,hizo za China za zama za mawe sio ajabu ila je zimeleta mapinduzi gani kwenye Dunia ya leo?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usianze kuhamisha magoli,we eleza teknolojia alizovumbua China ambazo zimeleta mapinduzi duniani achana na hizo teknolojia za enzi ya mitumezimechangia wa kiasi kikubwa kabisa maendeleo tuliyonayo sasa
Newton alivumbua vitu vyake karne ya ngapi?je utasema hana mchango kwenye maendeleo sababu hakuishi karne hii ya 20
Bila hesabu za Egypt leo hii tungekua na hiyo Internet
Usidharau ulipotoka,wana sayansi wenyewe wanakubali sana watu wa zamani na wana shangaa kuna vitu vingine waliwezaje kufanya ilihali technology ilikua ndogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hua siaminigi maneno naamini vitendo na Trump ametenda kweli,alisema ataitambua Jerusalem kua mji mkuu wa Israel na amefanya hivyo! Kwenye ahadi za kampeni aliahidi ataongeza ushuru wa bidhaa za China na kweli amefanya hivyo!Kwa hiyo hata hiyo hata hatua anazo zichukua trump hauziamini kwa kua yeye mwanasiasa
Acha kua na fikra potofu.
Sent using Jamii Forums mobile app