Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,280
Hauwezi shindana na USA km serikali yako ya China imesander kwenye kodi sembese kampuni
Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.Hauwezi shindana na USA km serikali yako ya China imesander kwenye kodi sembese kampuni
Sent using Jamii Forums mobile app
USA wameshindwa ushindani wa kibiashara na zile sheria za WTO waliziweka wao lakini naona sasa hivi wanaziona chungu
Hujui kinachoendelea mkuu hapo huawei wanajua kabisa hawezi kushinda hiyo ila wanachotaka kukifanya legal process zifuatwe huwezi kuban products fulani bila ya kua na evidence yeyote hapa huawei anataka ayaonyeshe mataifa mengine kwamba ni sheria gani au evidence zilizotumika kujudge kwamba huawei ni national security threat kwa USA kwa allies wake tena bila evidence yeyote ile
Soma na hii link vizuri.Huawei or highway: Chinese giant to sue US government over tech ban Huawei or highway: Chinese giant to sue US government over tech ban
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli USA ndiyo inayo tapatapa haitaki kuona multipolar world
Hakika mkuu 🙏Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya zaidi kule china kuna xaomi ambayo ni mbadala wa iPhone ni bei affordable kabisa.Hakika mkuu
Hivi kwa akili yako unadhani China hanufaiki kikubwa kwa uwepo wa iPhone nchini kwake,unajua imetoa ajira kiasi gani na fedha ngapi wanapata?Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria za kibiashara za mwaka 1950s kwa mazingira ya sasa haziwezi kuwa na faida.USA wameshindwa ushindani wa kibiashara na zile sheria za WTO waliziweka wao lakini naona sasa hivi wanaziona chungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua iphone inawaingizia faida kiasi gani wachina?Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua iphone inawaingizia faida kiasi gani wachina?Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakifika uko wanazima Android system kwa simu zote zinazotengenezwa na ChinaKuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapo marekani ina upper hand, iko na advantage. Walidanganya wakijua hawatakuja kukamatwa.Wanatapatapa,waendelee kuisaidia Iran kukwepa Vikwazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
WAlitengeneza ya kwao mwiaka kama 5 au 6 iliyopita, inaitwa china operating system, ila hawakutaka kutoa codes, watu wakawaruhumu kua wamecopy open source ya google. China bado dependant kwa kila kitu kutoka west.Wakifika uko wanazima Android system kwa simu zote zinazotengenezwa na China
Apo ndio Vita lazima mchina achemke na hana operating system yoyote. Kwa iyo itakuwa aibu kubwa Sana kwa Chinese
Sent using Jamii Forums mobile app