Hata mimi naamini hivyo.Nnaamini hizi simu za siku hizi huwa designed kutumika si zaidi ya miaka miwili.
Kubali matokeo.
mmmh nafwaaNilikua na Y300 iliharibika ghafla hivyohivyo toka mwaka juzi kwenye mwezi wa 9 hivi, niliitumia toka 2013, mpaka leo ipo ndani inawaka ila ndio hivyo apps zote zinacrash na huwezi kabisa kuitumia, nina utaalamu kidogo na hivi vitu, kilichokufa hapo ni chip inaitwa eMMC, kwa tatizo hilo ndugu fanya kama nilivyofanya mimi, toss it inside and go buy a new one. wala usipoteze pesa kuitengeneza you'll be dissapointed.
ebu nifafanulie kidogo mkuu...watanibadilishia?
Fuata maelekezo yafuataya ikikwambia emmc read only haifai kutengeza: toa betri baada ya km sekunde 10 liweke muda huo unatosha isijiwashe yenyewe halafu bonyeza volume+&volume- kwa pamoja halafu power button utatokea mwanga wa pink km juu yake kuna maandisha haya emmc read only haitengenezekihabari za leo wanaJF..?
naomba msaada wa kitaalamu juu ya simu tajwa hapo juu..
hii simu nimeitumia tangu 2014 May lakini siku chache zilizopita ilianza kuleta maandishi juu ya kioo ambayo yanajirudia kila mara bila kuisha (kila application inakuwa inaandika UNFORTUNATELY STOPPED) na kunifanya nishindwe kuitumia.
Niliipeleka kwa fundi (Tanga ) akanambia simu hii haifai tena sasa nimeshindwa kuamini naomba msaada kabla sijaipeleka k/koo kwa mafundi ninaohisi wanamzidi huyu wa hapa Tanga...
Naomba kuwasilisha wakuu ...natumai ntapata msaada wa kitaalamu..
asante mkuu..ila imegomaFanya kama ifuatavyo zima simu yako kisha kwa pamoja bonyeza button mbili za kuongezea sauti na bila kuachia bonyeza power button.
Ikiwa itatokea rangi ya pink katika simu yako basi waweza kuiflash na ikapona
Ikiwa itatokea rangi ya pink kisha kwa haraka ikaondoka na kuleta maneno emmc readbonly basinujue simu yako imeua internal memory (emmc) yaweza kupona kwa kubadilisha hiyo emmc lakini mara nyingi inakuwa ndo mwisho wa safari yake
Kwanini hizi huawei zinatatizo hilo la kufa (emmc) kulko simu nyingine?Fanya kama ifuatavyo zima simu yako kisha kwa pamoja bonyeza button mbili za kuongezea sauti na bila kuachia bonyeza power button.
Ikiwa itatokea rangi ya pink katika simu yako basi waweza kuiflash na ikapona
Ikiwa itatokea rangi ya pink kisha kwa haraka ikaondoka na kuleta maneno emmc readbonly basinujue simu yako imeua internal memory (emmc) yaweza kupona kwa kubadilisha hiyo emmc lakini mara nyingi inakuwa ndo mwisho wa safari yake