FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Hebu jitazame chupi uliyovaa ni ya wapi?teknolojia ipi ya China tumekuwa tukitumia?
Hebu jitazame chupi uliyovaa ni ya wapi?teknolojia ipi ya China tumekuwa tukitumia?
Unafanya upotoshaji mkubwa sana kwa kuandika story za uongo. Sio kweli kwamba television zimeingia Afrika miaka 60 baada ya uvumbuzi wake.Say it again......
kumbuka hawa wazungu hata TV tu wametuletea baada ya miaka 60 toka kuvumbuliwa kwake.... tena ilikuwa kwa wachache sana,
Hawa watu wanaotukuza /wanaoshabikia wazungu wanasahau kuwa bila mchina hata hivi vismart phone tungekuwa bado tunaviona tu kwenye movie za Mmarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yangu ni Made in Kenya.Hebu jitazame chupi uliyovaa ni ya wapi?
• Mitandao ya simu inategemea china tech.teknolojia ipi ya China tumekuwa tukitumia?
Marekani imeishtaki kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei na afisaa mkuu wake wa fedha, Meng Wanzhou.
Mashataka hayo ni pamoja na ubadhirifu wa fedha, kupinga utekelezaji wa haki na wizi wa teknolojia.
Kesi hiyo huenda ikazua mgogoro wa kibiashara kati ya Marekani na China hali ambayo itaathiri biashara ya kampuni hiyo.
Katika taarifa, Huawei imesema kuwa "imeghadhabishwa na mashtaka dhidi ya yake".
Imesema kuwa haikufanya makosa yote "yanayodaiwa ilitekeleza" na kwamba"haina ufahamu wa kosa alilotekeleza Bi Meng".
Meng ambaye ni binti wa mwanzilishi wa Huawei, alikamatwa nchini Canada mwezi uliyopita kufuatia ombi la Marekani kwa madai ya kukiuka vikwazo vyake dhidi ya Iran.
"Kwa miaka sasa, kampuni za China zimekiuka sheria zetu za biashara ya kimataifa, hatua ambayo inahujumu vikwazo vyetu na mara nyingine kutumia mfumo wa fedha wa Marakani kuendesha shughuli zao haramu. Hili lazima likomeshwe," alisema waziri wa biashara wa Marekani, Wilbur Ross.
Huawei ni ya pili duniani kwa uundaji wa simu nyingi za aina ya smartphone
Mashtaka ni yapi ?
Mashtaka hayo yanadai kuwa Huawei iliipotosha Marekani na benki ya kimataifa na kufanya biashara na Iran kupitia kampuni zake mbili za mawasiliano,Huawei Device USA na Skycom Tech.
Utawala wa rais Donald Trump ulirejesha vikwazo vyote dhidi ya Iran vilivyokuwa vimeondolewa chini ya mkataba wa kimataifa wa Nuklia uliyofikiwa mwaka 2015.
Kesi ya pili inadai kuwa Huawei iliiba teknolojia kutoka kwa T Mobile kufanyia majaribio ya kudumu kwa yake, pamoja na kupinga sheria na ubadhirifu wa fedha kupitia mtandao.
Huawei ni mojawapo ya kampuni kubwa ya mawasiliano na usambazaji wa simu duniani, ambayo hivi karibuni iliishinda Apple na kuwa ya pili kwa uundaji wa simu aina ya smartphone baada ya Samsung.
Lakini Marekani na mataifa mengine ya magharibi yana hofu kuwa serikali ya China huenda ikatumia teknolojia ya kampuni ya Huawei kuimarisha uwezo wake wa kijasusi, japo kampuni hiyo inasisitiza kuwa haina ushirikiano wowote wa kibiashara na serikali.
Hatua ya kukamatwa kwa Bi Meng, binti ya mwanzilishi wa Huawei iliikasirisha China.
Alikamatwa Disemba mosi mwaka jana nchini Canada katika mji wa magharibi wa Vancouver kufuatia ombi la Marekani.
Baadae mahakama ilimuachiliwa kwa dhamana ya dola milioni 76.
BBC
Hakika mkuuKama sio wachina, technolojia mpya nchi za Afrika tungekuwa tunachelewa sana kupata
Hahaa• Mitandao ya simu inategemea china tech.
• Tecno na 90% ya simu Tz ni China tech.
• Nguo na all life related products ni china tech.
• Usafiri wa mabus currently ni china tech.
NB: hata GF wako unampenda sababu ya china tech anazotumia!.
made in china!
Hapa ni chuki za Marekani dhidi ya hii Kampuni. Kwasasa baada ya Samsung kwa mauzo ya simu Kampuni ya Huawei imechukua nafasi ya 2 na kuiondoa kampuni ya Apple. Huawei kwasasa wameanza kuingia kwenye mfumo wa 5G na hii imewashtua sana wa Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
The cheap labour in China is gradually decreasing due to the rise in middle income families and clearly replaced by Philipiness and India.In tech complaining and staying static don't help. 15 years ago, Nokia was the best phone company in the world. They were the pioneer of cell phones. Where are they now? They were beaten clearly. I don't know if Blackberry or Ericson makes phones anymore. Apples is struggling now
If Western companies can't make cheap electronic devices such as cellphones, computers etc, they will struggle to make cell-phone infrastructures. It's simple as that. You can't beat the cheap labor that is available in China in a fair competition.
Hebu jitazame chupi uliyovaa ni ya wapi?
Nani alikudanganya kuwa nguvu kazi rahisi ndiyo unafanya vitu view rahisi? Si ungeanza wewe hapa Tanzania kutengeneza chupi za kuvaa mwenyewe! Una ughali upi wa nguvu kazi Tanzania hii? Huna teknolojia hata ya kutengeneza chupi yako unataka kushindwa na Mchina kwa eti kujidai kuuliza kuna teknolojia ipi yake unayoitumia! Khaa! Watazame dada zako nyumbani zile nywele na makalio kama ni yao au ya Mchina.Awali ya yote, huhitaji alama ya kuuliza kwenye kitenzi agizo cha "jitazame." Huko shule ulisomea ujinga? Pili, nguo hazitengenezwi Uchina kwa sababu ya upekee wa teknolojia yao bali nguvu kazi rahisi. Tatu, masuala ya kuambiana tuangalie chupi zetu yanahitaji faragha, niazime ukurasa kutoka kwenye kitabu chako, kama unanitongoza njoo kule kwenye pm.
Nani alikudanganya kuwa nguvu kazi rahisi ndiyo unafanya vitu view rahisi?
Unafanya upotoshaji mkubwa sana kwa kuandika story za uongo. Sio kweli kwamba television zimeingia Afrika miaka 60 baada ya uvumbuzi wake.
Kama tv ya kwanza ilivumbuliwa nchini Marekani mwaka 1927 kwa mawazo yako kama tv ya mwanzo iliingia baada ya miaka 60 ina maana hii itakuwa mwaka 1987, kitu ambacho sio kweli..!!
Nchi kama Zambia ilipata kuwa na kituo cha tv toka 1953; Kenya 1962 na Uganda 1963. Ni Tanzania bara tu ndio tulichelewa sana kupata kumiliki kituo cha tv hadi 1994 wakati , nafikiri Itv ilipofungua kituo cha kwanza.
Baada ya uhuru jitihada za Tanganyika kuwa na kituo cha tv zilipingwa sana na Mwl Nyerere kwa kile alichodai kuwa haikua kipa umbele na kwamba, "It was an expensive toy the country couldn't afford". Hata hivyo Zanzibar ilikuwa na kituo cha tv toka mwanzoni mwa miaka ya sabini.
Tuache tabia mbovu ya kukaa kuwalaumu wazungu hata kwa mambo ambayo ni sisi wenyewe tunashindwa kutimiza, mfano, zana za kufanyia utafiti wa magonjwa mwilini (Hospital Diagnostic Equipments) kama Magnetic Resonance Imaging-MRI, Autoclave, Automated External Defibrillator-AED, Audiometer, Ultrasound Systems, Break room Appliances, Colposcope, Emergency Equipment and Supplies, ECG Unit and Accessories, Exam Tables, Lab Diagnostic Equipment, Wheelchairs, CT Scanners, Ex ray Machines etc, ni vitu ambavyo vilitakiwa kuwepo ktk kila hospitali ya wilaya kama serikali ingeachana na miradi ya kisiasa isiyo na faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.
Sasa huwezi kutuambia leo kuwa hivyo vifaa/zana hazipo hivyo uanze leo kulaumu tena wazungu kama ndio wanatulazimisha tusivinunue tukanunue midege huku wananchi walio wengi wakifariki kwa kukosa tu huduma bora za afya na kupelekea wengine kuamini kulogwa kumbe ni kukosekana kwa zana za kisasa mahospitalini.
NB: To make the record straight:
Nakumbuka simu za awali kuja kwenye masoko yetu zilikuwa ni Nokia na Siemens ambazo wala hazikuwa "Brands" za kichina ila za Finland na Germany. China wamekuja kununua technology hii ya simu hapa juzi juzi tu.
We're very awkward indeed to turn the white people as our poor scapegoats for our failures. Almost 60 years of independence, we still don't even know our priorities. Very Pathetic Indeed.
HakikaUkisoma habari
Ukiisoma mada utakuta hakuna malalamiko ya "engineering" au "technology", kuna malalamiko ya wizi wa siri za kibiashara na utakatishaji wa fedha na menyineyo.
Hizo ni mbinu za kuwapunguza makali na kuwafanya Huawei wabakishe faida kiasi fulani hapo hapo USA.
Kwa ufupi, USA ni kama waliokuwa wamelala usingizini kuzinduka wanaona wameachwa nyuma. Ni lazima wafanye kila hila kuwapunguza makali Wachina.