pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
hao us ni wenye chuki zilizopitiliza wanataka kila zuri wawe wao Kama vipi xi pin piga tu hao
Unafanya upotoshaji mkubwa sana kwa kuandika story za uongo. Sio kweli kwamba television zimeingia Afrika miaka 60 baada ya uvumbuzi wake.
Kama tv ya kwanza ilivumbuliwa nchini Marekani mwaka 1927 kwa mawazo yako kama tv ya mwanzo iliingia baada ya miaka 60 ina maana hii itakuwa mwaka 1987, kitu ambacho sio kweli..!!
Nchi kama Zambia ilipata kuwa na kituo cha tv toka 1953; Kenya 1962 na Uganda 1963. Ni Tanzania bara tu ndio tulichelewa sana kupata kumiliki kituo cha tv hadi 1994 wakati , nafikiri Itv ilipofungua kituo cha kwanza.
Baada ya uhuru jitihada za Tanganyika kuwa na kituo cha tv zilipingwa sana na Mwl Nyerere kwa kile alichodai kuwa haikua kipa umbele na kwamba, "It was an expensive toy the country couldn't afford". Hata hivyo Zanzibar ilikuwa na kituo cha tv toka mwanzoni mwa miaka ya sabini.
Tuache tabia mbovu ya kukaa kuwalaumu wazungu hata kwa mambo ambayo ni sisi wenyewe tunashindwa kutimiza, mfano, zana za kufanyia utafiti wa magonjwa mwilini (Hospital Diagnostic Equipments) kama Magnetic Resonance Imaging-MRI, Autoclave, Automated External Defibrillator-AED, Audiometer, Ultrasound Systems, Break room Appliances, Colposcope, Emergency Equipment and Supplies, ECG Unit and Accessories, Exam Tables, Lab Diagnostic Equipment, Wheelchairs, CT Scanners, Ex ray Machines etc, ni vitu ambavyo vilitakiwa kuwepo ktk kila hospitali ya wilaya kama serikali ingeachana na miradi ya kisiasa isiyo na faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.
Sasa huwezi kutuambia leo kuwa hivyo vifaa/zana hazipo hivyo uanze leo kulaumu tena wazungu kama ndio wanatulazimisha tusivinunue tukanunue midege huku wananchi walio wengi wakifariki kwa kukosa tu huduma bora za afya na kupelekea wengine kuamini kulogwa kumbe ni kukosekana kwa zana za kisasa mahospitalini.
NB: To make the record straight:
Nakumbuka simu za awali kuja kwenye masoko yetu zilikuwa ni Nokia na Siemens ambazo wala hazikuwa "Brands" za kichina ila za Finland na Germany. China wamekuja kununua technology hii ya simu hapa juzi juzi tu.
We're very awkward indeed to turn the white people as our poor scapegoats for our failures. Almost 60 years of independence, we still don't even know our priorities. Very Pathetic Indeed.
China wanatumia gharama ndogo kwenye researches,badala yake wanatumia nguvu kubwa kuiba trade sercets kutoka makampuni makubwa,hapo ni lazima products zao zinakuwa na bei ndogo.This is unfair trade practices,na nchi yoyote inayojielewa haiwezi kufumbia macho huu upuuzi.
The cheap labour in China is gradually decreasing due to the rise in middle income families and clearly replaced by Philipiness and India.
Chinese have always been copycats and that's what took them to where they are. And they know it !
They have neither been faithful nor abiding to the WTO regulations.
e.g
YouTube - YouKu
PayPal - AliPay
Twitter - Weibo
Facebook - Tencent
Starbucks - Luckin Coffee
Apple - Xiaomi
Chinese have a very influential market plus cheap labour that they use to lure US Companies into their land, that are then forced to partner with Chinese ( as per Beijing laws ) to operate in China.If copycat is that easier as suggest, why can't African countries do exactly the same. Here's the thing. In business law they say that if you invent something you can file for the patent to protect you intellectual property for 20 years. If somebody tries to use your invention, they will have to pay you.
After 20 years, your protection will expire and everybody can use your technology without any issue. The question now is why Tanzanians, or for that matter Africans, copy and use technologies that aren't under copy protections? We here bashing Chinese; however, under this beautiful sun, there many technologies that could be copied for free.
Chinese have a very influential market plus cheap labour that they use to lure US Companies into their land, that are then forced to partner with Chinese ( as per Beijing laws ) to operate in China.
Then once they comply, that's by partnering with Chinese what follows is a technology transfer.
China wanatumia gharama ndogo kwenye researches,badala yake wanatumia nguvu kubwa kuiba trade sercets kutoka makampuni makubwa,hapo ni lazima products zao zinakuwa na bei ndogo.This is unfair trade practices,na nchi yoyote inayojielewa haiwezi kufumbia macho huu upuuzi.
Tuambie wewe unaejua kama ilianzia Zombo kwa Tupa kule Kilosa au hapo Tandale kwa Mtogole. Halafu kwa msaada kwako tafuta "Biography" ya mtu anayeitwa Philo Taylor Farnsworth kisha tuletee mrejesho kama labda alikua mkara aliyelowea kule ktk kisiwa cha Ukerewe au la.Pro amerika katika ubora wake!! Aiseee we kiboko, hata tv imeanzia america!!!😀😀😀
That apart, Chinese are renowned for abusing Intellectual Property Rights a key element at the centre of their now famous Trade War with the US.There's a truth to what you have said. However, majority of contributors in this thread are ignoring one important ingredient. Chinese have a robust system of education at primary and secondary levels. So when they company invest in China, it doesn't only get cheap labor, but also skilled people with work ethics.
If cheap labor was the only factor, in Tanzania we have that in abundance. In addition, Chinese has a growing middle class and up class. These two classes present the spending power of the country. For example, currently, there are 338 billionaires in China. Only the USA surpasses this number. So when we speak about China, we shouldn't look at the country in terms of cheap labor only. We should add the buying power of Chinese into the mix. If Mercedes Benz build a plant in China, the goal isn't to produce cheap cars to sell somewhere else. The main goal is to target the Chinese domestic market.
With regard to technology transfer, there's nothing new under our beautiful sun. Currently, China is at par with many countries in many areas. They have a very good and competitive system of education and the question why they shouldn't compete? If you go to America, Asians form a good number of graduate students who study engineering and science. The question is where these students go after graduation? Do you think they disappear in a vacuum?
That apart, Chinese are renowned for abusing Intellectual Property Rights a key element at the centre of their now famous Trade War with the US.
Needles to say, the Chinese are also notorious for the theft of technology from the west and notably the US. There is a regulation in China that requires any foreign investor to China to share technology with the local investors something that further fans the flame of trade war fire between both countries.
Despite the countries like Tanzania having the cheap labour, another handicap to them is that the potential manpower here is not skilled and the other economic factors like the ease of doing business which the country scores, comparatively, poorly (Tanzania is ranked on poor 144 out of 190 countries according to the latest World Bank annual ratings), takes it out of the business investment equation.
It is indisputable that the cheap cost of labour in China has have an impact on making the Chinese exports comparatively cheaper compared to exports from rival countries although this trend has now begun to subside as the Chinese labour costs start to rise amid the sagging economic growth.
Mchina hana jipya.Microsoft anadumu kwenye soko kwa kuwa na vitu viwili muhimu, wanasheria wazuri na vijana wagunduzi na watafiti. Hata wenyewe wamejikuta mara nyingi matatani kwa kuiba technolojia za wengine.
Hapa nnachokiona ni harakati za kulinda maslahi ya makampuni ya Marekani.
Kwa dunia ya sasa endapo hauwezi kuwa mbunifu na kuendelea kujifunza, hauwezi kushindana kwenye biashara.
Mchina hana jipya.
Kila anachotengeneza ni copy.
Tell me any unique creative invention by Chinese ?
Sidhani kama mada inahusu unafuu wa bei ya bidhaa.Naomba usome vizuri nilichoandika tokea mwanzo mkuu. Nimeongelea kwanza suala la wizi wa teknolojia kwa makampuni ya Marekani.
Kama mchina anaweza copy na kutengeneza kifaa kinachouzwa kwa bei kubwa ukakipata kwa bei nafuu unahitaji ushahidi upi tena kuhusu ubunifu?
Sidhani kama mada inahusu unafuu wa bei ya bidhaa.
Kuna wachangiaji hapa wanajaribu kuonesha kuwa wachina ni wabunifu na wana teknolojia kubwa inayowafanya wapige hatua kiasi kwamba wanaona kama US inawaonea wivu.
Tena wanajaribu kuhalalisha wizi wa dhahiri wa mchina wa intellectual property, trademarks na teknologia
Haya wewe mwenye jipya hebu tupe hilo jipya ulilogundua bila ku copyMchina hana jipya.
Kila anachotengeneza ni copy.
Tell me any unique creative invention by Chinese ?
Mimi nimesema nina jipya ?Haya wewe mwenye jipya hebu tupe hilo jipya ulilogundua bila ku copy
Mkuu umesema mchina hana jipya nikajua labda wewe una jipya utupe tuachane na mchinaMimi nimesema nina jipya ?
Wewe umesema mchina hana jipya huenda wewe una jipya sasa kama huna jipya ya nini kubeza wenzio ambao wanaweza mpaka ku copy technology na kutengeneza vitu mkuu hebu changamkia mambo dunia ya leo ni umafia tu unapopata gape fanya kweli