HUAWEI MATE 10 PRO

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
797
1,264
Wakuu wa jukwaa heshima yenu...

Naamini kichwa cha habari kinajieleza tosha na wala hakitakuwa kigeni kwenye jukwaa hii

Simu tajwa hapo juu (huawei mate 10 pro) ndo simu niliyovutiwa nayo kuinunua kwasasa

Naombeni ushauri wa kitaalamu kabla ya manunuzi ,maana nimeambiwa inauzwa 1,350,000tsh

Je ni kweli iyo bei au napigwa? na je thamani ya simu husika na bei yake inaendana?

Nawakilisha na kushukuru in advance....asante
 
Bei hiyo inafika mkuu lakini mimi ninayo huawei p10 lite 32 GB used 400,000
 
Wakuu wa jukwaa heshima yenu...

Naamini kichwa cha habari kinajieleza tosha na wala hakitakuwa kigeni kwenye jukwaa hii

Simu tajwa hapo juu (huawei mate 10 pro) ndo simu niliyovutiwa nayo kuinunua kwasasa

Naombeni ushauri wa kitaalamu kabla ya manunuzi ,maana nimeambiwa inauzwa 1,350,000tsh

Je ni kweli iyo bei au napigwa? na je thamani ya simu husika na bei yake inaendana?

Nawakilisha na kushukuru in advance....asante
Unanunulia wapi?
 
*3 mzukaaaaaaaaaaa*

HAPA UTAJIPATIA SIMU MCHANGANYIKO

Huawei P9 lite
16gb
350,000

Huawei P9
32gb
550,000

Huawei P10 lite
32gb
450,000

Huawei P10
64gb
750,000

Huawei P10 pro
128gb
850,000

Huawei P20 lite
64gb
900,000

Huawei P20
64gb
1,200,000

Huawei P20 pro
128gb
1,800,000

Samsung Galaxy Tab S3
64gb
Cellular
950,000

Sony Xperia XZ
64gb
650,000

Sony experia XA1
64gb
650,000

0714230566

NB; *SIMU ZOTE NI MPYA NA RANGI ZOTE ZINAPATIKANA*

Mtafute huyo jamaa ana simu nzuri kwa bei rahisi kabisa
 
poa poa mkuu
 
ni fair hio bei, mate 10 ni equivalent ya note 8.

sema je hio mate 10 yako ni mpya? ni version ambayo inapaswa kuuzwa hapa Tanzania? ama ni refurbished phone wameitoa korea huko wanakuja kukupiga nayo huku?
 
sasa hapo ndo pagumu mzee baba....ebu naomba nisaidie nkuu kuna namna yoyote ya kuprove version sahihi kabla sijainunua?
 
according to gsmarena wana version 3
-BLA-L09 ambayo ni line moja
-BLA-L29 ambayo ni line mbili
-BLA-AL00 ambayo ni ya china

utaenda setting kisha about kuangalia model. tafuta moja wapo kati ya hizo mbili za mwanzo tegemea na mahitaji yako L09 na L29, hio version ya china achana nayo, au ukikuta model nyengine tofauti na hizo tatu ilete humu au igoogle kwa maelezo zaidi.
 
Mkuu mungu akupe maisha marefu saaaaaaana!!!
 
*3 mzukaaaaaaaaaaa*

HAPA UTAJIPATIA SIMU MCHANGANYIKO

Huawei P9 lite
16gb
350,000

Huawei P9
32gb
550,000

Huawei P10 lite
32gb
450,000

Huawei P10
64gb
750,000

Huawei P10 pro
128gb
850,000

Huawei P20 lite
64gb
900,000

Huawei P20
64gb
1,200,000

Huawei P20 pro
128gb
1,800,000

Samsung Galaxy Tab S3
64gb
Cellular
950,000

Sony Xperia XZ
64gb
650,000

Sony experia XA1
64gb
650,000

0714230566

NB; *SIMU ZOTE NI MPYA NA RANGI ZOTE ZINAPATIKANA*

Mtafute huyo jamaa ana simu nzuri kwa bei rahisi kabisa
Yupo wapi au a napatikana Mkoa gani
 
Back
Top Bottom