Huawei e960 unlock code msaada please.

Huawei e960 unlock code msaada please.

shikasana

Senior Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
115
Reaction score
115
Wana JF wenzangu ninaombeni mnisaidie code za ku-unlock huawei yangu ambayo ilikuwa inatumia chip ya airtel,lakini kwa sasa naona kama airtel inasumbua sana kwa huku nilipo.Naitaji nitumie laini ya vodacom ambayo kwa hukunilipo angalau inaspeed ya kuridhisha.

nilijaribu ku-google nikaambia code inauzwa dola 2,ningeweza kununua ila misio mjanja wa kufanya transaction za online. Naombeni sana kwa atakaye weza kunisaidia anisaidie kwani ninauitaji nao mkubwa sana.


Asanteni.
 
Hi kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Superunlockcodes.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua simu yako. Ili kupata code una zilizotajwa ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI idadi. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom