Huawei Conference live muda huu

Nadhani unafuatilia kinachoendelea mkuu
 
Mbio za 5G
Mkuu huawei anauza tu vifaa vya 5g bei rahisi ila linapokuja kwenye gunduzi, na technology ya 5g kwa ujumla ni player mdogo sana.

Hizi ni kampuni za 5g kwa value ya Technology zao.


Ili kujua kama Huawei ni player Mdogo angalia simu zao tu wanategemea walisence kampuni kama Nokia na Qualcomm ili zifanikishe.

Katika maisha yako yote umewahi sikia kampuni fulani imelicence tech za huawei ili itengeneze kifaa cha 5g? Zaidi ya mitandao ya simu kununua vifaa vya bei rahisi?
 
Usilinganishe Samsung na takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…