Huawei: Android bado ndio chaguo letu namba moja na namba mbili.

Huawei: Android bado ndio chaguo letu namba moja na namba mbili.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,966
Kampuni ya kutengeneza simu ya Huawei imedai kua mfumo wa Android bado ndio chaguo lako namba moja na namba mbili, watachagua mfumo wao ikiwa tu serikali ya Marekani itawapiga marufuku ya kudumu wasitumie mfumo wa Android.

well, do they have a choice? where else could they go? not on IOS LOL
 
Akihama ndio atapotea moja kwa moja..Hakuna atakaye mfuata huko kwenye OS yake mpya.
 
Kampuni ya kutengeneza simu ya Huawei imedai kua mfumo wa Android bado ndio chaguo lako namba moja na namba mbili, watachagua mfumo wao ikiwa tu serikali ya Marekani itawapiga marufuku ya kudumu wasitumie mfumo wa Android.

HII VITA SIJUI ITAKWISHA LINI
 
Hili tumekwisha lizungumzia hapa kwamba Huawei wataendelea na Android kama chaguo lao la kwanza mpaka hali itakapokuwa ngumu kwao kufanya hivyo.

Na hata hiyo Project ya OS yao ni kwa ajili ya soko la IoT (Displays, Wearables n.k.) na hata zile Projects nyingine pia kama HongMeng, Ark/Aok OS ni Specific kwa ajili ya vifaa vinginevyo.

well, do they have a choice? where else could they go? not on IOS LOL
iOS is not an open source. This means using it will cost them. However, I hear they have launched their own OS.
 
Huawei wametoa simu mpya sasa yenye Android 10. Huawei P3 Pro
Jamaa wameamua kuwa jeuri kwa Google! Duuh
Huawei-Mate-20-Pro-Android-10-EMUI-10-1170x658-702x336.jpg

The first Huawei phone that can have Android 10
 
Back
Top Bottom