Won mawila
Member
- Mar 7, 2019
- 83
- 56
Kila nikiwasha redio nakuta unapigwa nikibadili station nakutana nao kwan Hamna nyimbo nyingine
Zima radio
Unateseka mkuuKila nikiwasha redio nakuta unapigwa nikibadili station nakutana nao kwan Hamna nyimbo nyingine
Wanaimba kaswidaHuo wimbo wanaume wamebana pua yani...mara ya kwanza nilizani unaimbwa na wanawake
Anaitwa Cheed mkuu😂😂
Kali sana..