Hu wimbo wa masoz vipi !!

Hu wimbo wa masoz vipi !!

"Eti mjomba naye ni mama" hapo tu ndo waliyumba 😂😂😂
 
Wadau wanasema neno masozy limetajwa mara nying zaid kwenye huo wimbo ni masozy masozy masozy masozy masozy eeh masozy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu anaposema "japo mama amekwenda (amefariki) hata mjomba ni mama" ni fasihi tu.. Anamaanisha hata mjomba/shangazi/kaka au ndugu yoyote mkubwa wa karibu ni "mlezi" pia, hivyo ni kama mama kwake, maana alichukua nafasi ya kumlea na kumtunza wakati mama hayupo.
Vp mtoto wa dada yako akikuita mama utaitika mkuu

silent_ocean
 
Back
Top Bottom