Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,510
leo ndo simu inazinduliwa ntawapa hints kidogo za hii simu kwa wale wanaopenda htc. Hii ndo simu itakayodetermine uwepo wao kwenye competititon ya smartphone.
boom sound
htc wamezindua feature mpya ya simu yao itakayoitwa boom sound zitakua ni speaker 2 za mbele zenye kutoa sauti kwa stereo
music player
wameeka music player mpya inayotumia cloud service yenye uwezo wa kutoa lyrics internet na kukupa wewe mtumiaji unaeskiliza wimbo flani (usidhan za kibongo hapa ni nyimbo maarufu tu)
sense tv
hii ni kuleta enterteiment zako zote pamoja. Vitu vya online unavovipenda vinakaa pamoja ni kama hub flan hv.
noise canceletion like 808
naona wanampiga kijembe nokia hapa. 808 ilikua ndio simu pekee inayoweza kurikodi disco au maeneo yenye kelele na sauti ikatoka clear htc wanaclaim simu yao itafanya hivyo
camera
pia kuna kitu kinaitwa htc zoe hii itakua kama cinemagraph kwenye lumia itakayowezesha mtumiaji kutengeneza animation kwa kutumia camera ya simu.
specification zitakua kama hivi
storage:kuna choice 32gb au 64gb
processor: snapdragon 600 quadcore clocked 1.7ghz
ram:2gb
battery:2300mah
connectivity:kuna bluetooth, wifi na 3g,2g,4g
maoni yangu
htc wamejitahidi kutoa simu yenye specification kubwa kuliko zote dunian kwa sasa, kwa hilo nawapongeza na hasa kioo chao chenye roughly 468pixel kwa kila nchi (full hd 1080 kwenye kioo cha 4.7).
Ila htc wanakosea sana kujipambanisha na makampuni makubwa maana unapopromise watu vitu na then hivo vitu visiwe kweli tegemea watu wakimbie. Htc amepromise kuwa na camera ya 4megapixel itakayokua na quality kushinda ya nokia (kweli?). Tusubiri muda si mrefu tutapata jibu

jamaa wanawapiga dongo jengine nokia wanadai camera yao inauwezo 300 times better ya kuchukua mwanga na kuweza kutoa picha za low light kwa quality ya juuhtc said:"For years, people have been misled about what is important in a camera what matters is not pixel count, but pixel size. Bigger pixels let in more light, it's simple physics."