HTC unveils revamped HTC One

HTC unveils revamped HTC One

mkuu sina jina umetudanganya htc ni simu ya 3 kutumia android

simu ya kwanza ni t-mobile g1 october 2008 thena ikafatiwa na t-mobile mytouch 3g july 2009

mpaka october 2009 ndo ikatoka htc.

Source
A brief history of Android phones - CNET Mobile

Kuhusu htc kua simu ya kwanza ya touch screen
pia hili sio kweli simu ya kwanza touch imetengenezwa na kampuni inaitwa ibm na simu ilikua inaitwa simon (japo apple alikua ana prototype)

IBM%20Simon.jpg


skuizi hamna kudanganyana mkuu kama nimedanganya lete source zako

Mkuu wewe ndiye uliyechemsha kwa sababu T mobile G1 ilitengenezwa na HTC. Hivyo ni kweli kwamba HTC ndio wa kwanza kutoa simu ya Android. N aya pili ambayo ni MyTouch 3G pia ni simu ya High Tech Computers (HTC)
 
Mkuu Chief Mkwawa kamera ya HTC sio Mgepixel 4 bali ni Ultrapixel 4. Tofauti ya megapixel na ultrapixel ni kwamba Ultrapixel inaruhusu mwanga zaidi katika kila pixel kwa 300%, pia pixel za Ultra ni pana zaidi ya za mega. Hivyo basi High Tech Computers (HTC) hawakudanganya. Ila tatizo la camera hii linaweza kuwa ni "smooth tonal gradation", lakini like for like baina ya megaxel na ultrapixel, ultrapixel ni bora mno. Hivyo kiujumla kamera ya HTC itafanya kazi vizuri zaidi katika mazingira ya mwanga mchache kuliko camera yoyote ya simu nyingine.

Chungulia makala yangu hii inayiochambua simu HTC One: Gajetek - Gajet na Teknolojia: HTC One na Kamera ya Altrapiksel
 
Toleo zuri, ila wadau naombeni kujua bei na pics za HTC Desire C kama mwaisoma
 
Mkuu Chief Mkwawa kamera ya HTC sio Mgepixel 4 bali ni Ultrapixel 4. Tofauti ya megapixel na ultra pixel ni kwamba Ultrapixel inaruhusu mwanga zaidi katika kila pixel kwa 300%, pia pixel za Ultra ni pana zaidi ya za mega. Hivyo basi High Tech Computers (HTC) hawakudanganya. Ila tatizo la camera hii linaweza kuwa ni "smooth tonal gradation", lakini like for like baina ya megaxel na ultrapixel, ultrapixel ni bora mno. Hivyo kiujumla kamera ya HTC itafanya kazi vizuri zaidi katika mazingira ya mwanga mchache kuliko camera yoyote ya simu nyingine.

Chungulia makala yangu hii inayiochambua simu HTC One: Gajetek - Gajet na Teknolojia: HTC One na Kamera ya Altrapiksel

mkuu hayo maneno ya biashara nikipata mda ntaleta picha za mwanzo za htc sio nzuri kweli kama wanavotangaza wanataka kuwa kama iphone kusema best best kila kitu na kimahesabu alikua anafanya damian (ex-nokian employee ambaye alitengeneza pureview) ni haiwezekan.
 
Mkuu huna haja ya kuleta picha kwa sababu HTC wako kwenye biashara hii kwa muda mrefu sana kuweza kuelewa kwamba kosa linaweza kuwaathiri kimauzo, sisemi kuwa kamera hii ni bora kuliko kamera zote nilichojaribu kueleza ni ubora wa ultrapixel na athari ya uchache wa pixel kwa ujumla katika camera.

Pamoja na hayo HTC wamefanya makosa mengi sana kimasoko (marketing) ambayo yameangusha kampuni yao kutoka Industry leaders (enzi za Windows Mobile na simu kama Vile HTC Tytn, Touch, Advantage na enzi za Android Cupcake za mwanzoni kama vile HTC G1 (T Mobile G1), Dream na Magic) mpaka sasa sio "leaders" wala sio "followers" katika simu.

Kwa mawazo yangu (tofauti na baadhi ya wachangiaji) hii ni kampuni yenye uzoefu na uwezo mkubwa kiasi cha kutoa simu itakayovutia mno, lakini nadhani wana matatizo sana katika masoko (marketing) na sio katika technical side.

Hivyo basi HTC kufanya kosa jengine sio ajabu na HTC kuja na kitu kipya kilicho bora pia sio ajabu.
 
ok wale waliokua wanakataa htc kua hacopy angalieni hizi picha
860398_343318719117827_140365419_o.jpg


hio design ya nyuma from sony

hapa picha ya pamoja kwa mbele ikionesha inavyofanana na blackberry z10 na kwa nyuma na xperia sony.

581077_619280621432467_1503605153_n.jpg


sometime unaweza ukasema ni coincidence lakini why kila siku wao tu ndo wanahisiwa kucopy vitu vya watu?
 
Labda nukta ya msingi ni kwamba huu mfanano hautaiathiri HTC kwa namna yoyote hasa katika misingi ya kisheria kwa vile hakuna patent au copy right katika feel and look (hasa kwenye hardware), ndio maana katika moja kati ya kesi baina ya Apple na Samsung mahakama waliiamuru Apple iandike kwenye tovuti yao kwamba "Samsung did not copy Apple" na kesi iliishia kuwa ni aibu kwa kampuni ya Apple (Apple told to rewrite 'Samsung did not copy' statement, post it on front page until Dec 14th)

Labda uwezekano pekee wa HTC kuingia matatizoni ni kupitia "Hardware Clone", bila ya shaka tutakubaliana hakuna mfanano baina ya simu hizi uliofikia kiwango cha clone (angalia camera, microphone na speaker positioning baina ya HTC One na BB Z10) na pia angalia Logo, curving of the back, camera size, position ya flash baina ya HTC One na Sony Xperia. Utagundua hakuna kesi ya cloning hapo.

Mwishoni kabisa kwa sasa simu ni nyingi mno kwa kampuni yoyote kuweza ku-stand out na design ya peke yao katika hardware, kwa mfano ukiangalia Samsung Galaxy SIII imechungua umbile la Google Galaxy Nexus (ambapo ingawa ilitengenezwa na Samsung lakini design ilikuwa ni ya Google) ukiondoa kwamba Nexus ina curved screen, ndio maana EU na USA wakaondoa masuala ya patenting hardware look katika electronic gadgets na magari, again cloning hairuhusiwi.
 
Inawezekana hujui kusoma na wala hujaelewa, ila ni vyema ukaelewa kwanza ,mimi sio mtu wa IT nasoma ninyi wataalamu wa IT mlichoandika kama history ya hizi gadgets Sipingi ila jua nini maana ya divices kwanza ndio uanze kunikosoa
HTC began designing some of the world's first touch and wireless hand-held devices in 1998
sdource; HT - Wikipedia, the free encyclopedia

Halafu kwewenywe hiyo link yako kuna hii note hujaisoma wewe
Editors' note: This list is current as of August 2, 2011. For brevity's sake, we've focused only on models previously or currently sold by U.S. carriers.


The first commercially available phone to run Android was the HTC Dream, released on October 22, 2008

suorce; Android (operating system) - Wikipedia, the free encyclopedia

ni kweli htc ndo wa kwanza kutengeza bidhaa za touch, japo hazikuwa za htc, hata hp palm top za mwaanzo zilitengenezwa na htc chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Mimi nazipenda sana simu za HTC lakini sasa bei za bongo ni balaa.
 
mimi hizi smartphone zinanikera katika masual yao ya kuwa unlocked na locked alfu zinauzwa bei tofauti differnces inaweza ikawa mpk $ 100 kwani si watoe zote tu unlocked!!.....

hapo kuna suala la simu zinazotoka us na UK Mara nyingi huwa na carrier but simu zipo international ambazo hazina lock na ndio bora kuliko
 
Ingawa kuna baadhi ya wachangiaji wametoa taswira kwamba HTC ni kampuni ndogo au isiyo na uwezo mkubwa ukweli ni kwamba utafiti unaonyesha kwam wateja wa HTC mwaka 2012 wameridhika zaidi na simu zao kuliko wateja wa Samsung. Utafiti huu ulifanyika mara baada ya Samsung kutoa Galaxy S3 na Kabla ya Apple kutoka iPhone 5, hata hivyo iPhone iliongoza list nzima.

Mfano mzuri ni kwamba wakati Samsung wanaendelea kutoa simu za plastiki ambazo zinaonekana kama ni simu za bei rahisi (including S3), HTC One ina full aluminium body.
 
Ingawa kuna baadhi ya wachangiaji wametoa taswira kwamba HTC ni kampuni ndogo au isiyo na uwezo mkubwa ukweli ni kwamba utafiti unaonyesha kwam wateja wa HTC mwaka 2012 wameridhika zaidi na simu zao kuliko wateja wa Samsung. Utafiti huu ulifanyika mara baada ya Samsung kutoa Galaxy S3 na Kabla ya Apple kutoka iPhone 5, hata hivyo iPhone iliongoza list nzima.

Mfano mzuri ni kwamba wakati Samsung wanaendelea kutoa simu za plastiki ambazo zinaonekana kama ni simu za bei rahisi (including S3), HTC One ina full aluminium body.

na utafiti unasema kua wateja wa windows phone wameridhika kuliko wa android, reason jeeee

reason ni simple wapo wachache kuliko android its easy kuwamanage.

So htc wanaridhika cause wapo wachache kuliko samsung.

Ila mkuu pia katika simu ambazo hazijali wateja htc imo sema tu wateja wenyewe hawajui.

Nakupa mfano kwenye windows phone kuna player wakubwa wa 3 nokia, samsung na htc.

Nokia kawapa wateja wake bluetooth sharing, samsung kwawapa tethering htc katoa nini?
 
chief-mkwawa Kuna ukweli kiasi fulani katika suala la idadi, lakini labda nikukumbushe pia kwamba kuna kampuni zinatengeneza simu chache kuliko HTC lakini hawakuweza kuwapiku Samsung, mfano Huawei na Asus, na Apple iPhone inaongoza kwa mauzo lakini kwa miaka 5 mfululizo wanachukua nafasi ya kwanza katika Customer Satisfaction. Kwa hiyo idadi haiwezi kuwa sababu pekee.

Tunachotakiwa tuzingatie ni kuwa watumiaji wa simu wanayoulizwa maswali mbali mbali katika Marketing Reserach hizo ni:
1. Kudumu kwa betri (Samsung battery life is awful)
2. Ubora wa Simu hapa Samsung wanafanya makosa mawili: Simu za Plastiki na pia bado wanazalisha Vimeo vingi tu mfano Galaxy Pocket, Galaxy Music, Galaxy Gio, Galaxy Fit, Galaxy pro n.k.
3. Operating System: wako sawa kwenye Android na WP kwa ujumla lakini kumbuka kwamba Samsung bado wanazalisha simu zinazotumia Bada OS.4. After sale service: [Samsung (pamoja na HTC)] wana matatizo mawili:

a.) hawana service centre zao wenyewe


b.) Na unapokutwa na tatizo, kwa mfano unapovunja screen kwa mfano Samsung inachukua wiki 2 mpaka 4, iPhone unafanya booking na Genius Bar wana-replace simu in 10 minutes!

Samsung wanahitaji kubadili strategy kama wanahitaji kufanya vizuri katika mambo kama haya, ama kwa mauzo tu, they are number one, na hii focus ya mauzo ndio inayowaponza kuzalisha vimeo na kutoa simu za Bada ili mradi tu waongoze kuuza simu nyingi.
 
Last edited by a moderator:
na utafiti unasema kua wateja wa windows phone wameridhika kuliko wa android, reason jeeee

reason ni simple wapo wachache kuliko android its easy kuwamanage.

So htc wanaridhika cause wapo wachache kuliko samsung.

Ila mkuu pia katika simu ambazo hazijali wateja htc imo sema tu wateja wenyewe hawajui.

Nakupa mfano kwenye windows phone kuna player wakubwa wa 3 nokia, samsung na htc.

Nokia kawapa wateja wake bluetooth sharing, samsung kwawapa tethering htc katoa nini?

HTC Windows Phone 8X ina bluetooth sharing, wireless/wired/bluetooth tethearing (by the way tethearing ni function inahitaji support ya software ambapo baadhi ya phone operators wanazi-block kwa hiyo huwezi kuwalaumu HTC kwa hili) na pia simu hii ni Near Field Communication (NFC), ambayo kwa sharing ni more effective kuliko bluetooth.
 
HTC Windows Phone 8X ina bluetooth sharing, wireless/wired/bluetooth tethearing (by the way tethearing ni function inahitaji support ya software ambapo baadhi ya phone operators wanazi-block kwa hiyo huwezi kuwalaumu HTC kwa hili) na pia simu hii ni Near Field Communication (NFC), ambayo kwa sharing ni more effective kuliko bluetooth.

i thought nkiongea hivo utanielewa ngoja nikunjuke.

Nimemaanisha windows phone 7.5 mkuu ambayo imemiss vitu vingi sana na ikawa updated kwenda 7.8 nokia na samsung wameongeza vitu vingi sanaa ukiingia side ya nokia kwenye apss zao exclusive hukosi apps 1000 na upuuzi wakati wao htc last time walikua nazo 5 i think yani 5 huwezi amini hio ndo contribution yao kwenye os

same kwenye android hivyo hivyo tofauti na android yenyewe hukuti manjonjo manjonjo sjui chat on kama samsung au ui kama ya amazon, ile android isiyokua modified ndo unaikuta htc
 
i thought nkiongea hivo utanielewa ngoja nikunjuke.

Nimemaanisha windows phone 7.5 mkuu ambayo imemiss vitu vingi sana na ikawa updated kwenda 7.8 nokia na samsung wameongeza vitu vingi sanaa ukiingia side ya nokia kwenye apss zao exclusive hukosi apps 1000 na upuuzi wakati wao htc last time walikua nazo 5 i think yani 5 huwezi amini hio ndo contribution yao kwenye os

same kwenye android hivyo hivyo tofauti na android yenyewe hukuti manjonjo manjonjo sjui chat on kama samsung au ui kama ya amazon, ile android isiyokua modified ndo unaikuta htc

Nokia ni lazima wawe na mambo mengi kwenye WP kwa sababu zifuatazo:1. Wameingia mkataba na Microsoft ili wakamilishe mambo mbali mbali, Nokia imelipwa na Microsoft dola bilioni 1 kwenye mkataba huu.
2. Nokia haitengenezi simu za OS nyingine yoyote ukiondoa symbian (dying platform) mbili tatu, na hata flagship device yao ni WP.
Kwa hiyo ukiangalia mambo mawili haya utakuta kwamba Nokia wana time na resources za kutosha kuzishughulikia Windows Phone.
Kwa upande wa HTC:
1. Platform yao kuu ni Android na si WP. Ndio maana flagship device zao zote ni Android (2013 ni HTC One), kwa hiyo usitegemee mambo mengi kutoka kwa HTC katika Windows Phone
2. Pia HTC wana Focus kwenye OS customisation na sio kwenye additional Apps, na hii ndio sababu hawakushughulika na WP kwa vile Microsoft wame-limit mno customisation katika WP. Kumbuka walipokuwa wanaruhusu hili (Enzi za Windows Mobile 3 mpaka 6) HTC ilikuwa market leader katika Windows mobile.
3. Ushahidi ni kwamba HTC selling point ni Sense na Blink Feed.
Skin ndiyo inayoifanya simu ina-standout from the crowd. Ndio Maana Motorola wana Moto Blur, HTC (Sense na Blink Feed) Samsung (Touch wiz) n.k.
Hivyo it's all about marketing tactics, kwa upande wangu binafsi naona Nokia wanachemsha, kuna haja gani ya kutengeneza apps 1000 wakati hiyo ni kazi ya developers na OS company? Nokia wanatakiwa wa-concetrate kwenye Hardware na mambo ambayo yatazifanya simu zao ziwe tofauti kwa vile OS skinning na sio apps.
WP kwa sasa ina apps zaidi ya laki moja na nusu so what is the point of additional 1000? Nadhani hii ni moja kati ya sababu ya Nokia kuwa slow katika mauzo kwa siku za karibuni kuliko Samsung, Apple, LG na HTC.
Kwa upande mwengine pia nakubaliana na ukweli kwamba kuna watu wanapendelea Stock OS hasa Android fans na ndio maana Nexus Devices zote zina mauzo mazuri. Lakini mara nyingi wanaopenda Stock Android ni watu kama vile Developers na hard core android users kama vile washiriki wa XDA Developers ambao wana-skin wenyewe na tweak hata native OSs na pia wanapendelea early updates ambazo ni previlage ya Nexus devices tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom