Jamani naomba kujua nawezaje kupata kioo cha simu HTC one x +. Niko Mkoani. Naombawenye uzoefu anisaidie.