Kama umewasha computer yako ila haijawaka basi fanya hivi...

Oct 17, 2016
46
47
Kama una computer ambayo ukiiwasha inawaka bila kuonesh kitu kwenye screen, tafadhali fuatilia kwa makini maelzo haya ambayo yanaweza kurudisha computer yako katika hali yake ya kawaida.

Kwanza kabisa tatizo la komputa yako kutokuonesha kitu (black creen au dead screen) linatokana na sababu mbali mbali.

1. Tatizo kwenye RAM au RAM slots
2. Processor
(ni mara chache sana processor kuzingua, hua hazizingui ovyo ila ikitokea bahati
mbaya, ok)
3. Graphics card
ni card inayohusika na vinavyoonekana kwenye pc viwe kama ambavyo winatakiwa
kuonekana. kama ikiwa hijaunga vizur, processor ita terminate booting process
4. Inverter
Ndo inayofanya screen ya computer yako ionekane.
kama shida ikiwa kwenye inverter, uki connect external screen (desktop au Tv), utaona computer inawaka kama kawaida.

Jinsi ya kutatua:

Kabla hujafanya jambo lolote, naomba nikujulishe kuwa computer yako inawaka vizur, ila BIOS hiafanyi kwa maana kwamba, ikisha power up, cha kwanza kabisa processor hua inafanya check up kujua kama kila kitu kwenye mother board + input na output system zipo sawa sawia.

Processor ikiona shida yoyote ile, haitoendelea na booting(kuwaka). na hapo ita display error kwenye pc yako kwa kua pc yako haioneshi error yoyote, tunaweza kuhisi kua RAM inaleta shida kwa sababu, chochote ambacho computer inakifanya, kinafanyika kwenye Random-Access memory.

Kama ram ikiwa mbovu, basi lazma screen yako haitoonesha kitu chochote. lakini pia pengine screen yako imekufa (inverter imeharibika au kioo kimepasuka) sasa ili umjue mchawi nani, itabidi ui connect na screen ya nje. screen ya nje inweza kua TV au projector. utachomeka VGA cable au HDMI cable kwenye computer yako na ile Tv yako au desktop ya komputa au project halafu utaiwasha pc yako kama screen ya nje ikiwaka, basi shida ni screen, hapo itakulazimu kununua screen mpya au inverter mpya depending on where the problem is. lakini pia lazma ufanye ram test kama computer yako ina slot 2 za ram, basi zitoe zote na ku test ram moja moja kwenye kila slot na kuangalia kama itawaka.

Nilishawai ku solve tatizo kwa njia hii kama ikigoma, basi tatizo litakua kwenye graphics card ni vigumu sana kurekebisha tatizo lililopo kwenye graphics card' itabidi uipeleke kwa fundi mzuri ili aichometena graphics card kwa moto mkali.

Plan B:
1- Toa betri na charger, then bonyeza button ya kuwasha kwa sec 30 ili u drain
CMOS battery.
2- Rudisha betri na charger halafu bonyeza fn + esc na button ya kuwasha kwa
pamoja pc yako itawaka ikigoma fuata maelekezo ya hapo juu.

Kwa mahitaji ya kutengenezewa Computer yako, kubadilishiwa kioo, ram, hard disk au kwa tatizo lolote.

Piga simu namba 0676040772
 
Mkuu laptop iliyoingia maji kwenye keyboard inaweza kurudi kwenye hali yake?
 
Mi Nina desk top dell nikiwasha inaniletea low battery charge press F1 to continue or F5 for onbody check up. Pia laptop yangu kwsasa ukiwasha inaleta black Screen. Pia kuna suala LA SAA kwenye computer ukiwasha inasoma 2008 na hata ukirekebisha bado ukishazima mpaka uset muda upya shida ninj
 
Nitafute kwa namba 0676040772
 
Kuna PC zingine unapowasha inakwenda mpaka kwenye logo let say HP then inazima "unexpectedly" inakuwa kwenye "sleep mode" mpaka uibonyeze kitufe cha kuwashia tena ndo iwake. Tatizo hili hasa ni PC ambazo zimekuwa upgraded to Windows 10 kutoka Windows 8.1, sijui tatizo huwa ni nini?
 
Mi Nina desk top dell nikiwasha inaniletea low battery charge press F1 to continue or F5 for onbody check up. Pia laptop yangu kwsasa ukiwasha inaleta black Screen. Pia kuna suala LA SAA kwenye computer ukiwasha inasoma 2008 na hata ukirekebisha bado ukishazima mpaka uset muda upya shida ninj
Hiyo Desktop fanya ku replace CMOS Battery hilo tatizo kwishney
 
Laptop yangu nikiiwasha haiwaki inatoa mlio flani kama kitu kinagonga (ta....ta...) itakua ni tatizo gani.
 
Back
Top Bottom