Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 15,341
- 75,513
Mazingira ya kazi yamemdumaza, amecope kwa aliowakuta. Naye amekuwa wa bora liende.Kuna vituko halmashauri utakuta wanakununilia lunch samaki mkubwa unabaki kuuliza shule mlisomea ujinga ni vituko tu, wanakimbia kimbia juu chini maswali yasiyo na msingi,eti mkaguzi umepata breakfast ?umefikia wapi ?,nilikwenda halmashauri moja nikamkuta mwanafunzi wangu niliyewahi kumfundisha miaka kumi na moja kabla ya mimi kuwa mkaguzi nilisikitika sana.The girl by that time aliongoza bookkeeping form four pia form six kitaifa akiwa Weruweru very intelligent.Kawa na akili za kilevi ,vitu vidogo hawajui kabisa.Tuna tatizo kubwa kwenye nchi hii.