HP probook 430

ommy clear

JF-Expert Member
May 26, 2018
214
57
Wakuu Nina HP tajwa hapo juu ina pes 2017 lakini kila nikiifungua inagoma inataka 0xc0000b7 nimehangaika sana namna ya kufix hilo tatizo ili game ifunguke nimeshindwa , mwenye ujuzi na mambo hayo anipe maujuzii
 
Tuma screenshot au kama kuna ujumbe umeuacha kwenye hiyo error jaribu uandike vitu vyote hapa kila nukta ni muhimu ili kujua tatizo.
 
Back
Top Bottom