Jamani msaada natafuta printa "HP officejet 7510" au "Epson WorkForce WF-7610". Kwa anayefahamu duka wanalouza hiyo printa. Itafaa zaidi nikijua na bei yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.