omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wanajf naona cursor ya kwenye pc yangu haitulii yan kila ukitaka ku-select kitu inacheza cheza sana naomben msaada namna ya kusolve hili
Wanaojua bado awajafika auHabar wanajf naona cursor ya kwenye pc yangu haitulii yan kila ukitaka ku-select kitu inacheza cheza sana naomben msaada namna ya kusolve hili
Tiba yake??unapoomba ushauri/msaada uwe unataja model na operating system unayotumia inarahisisha kupewa jibu.
feni tu linaweza sababisha hilo tatizo. ukitumia pc huku umewasha feni.
Mkuu nina swali kwako..unapoomba ushauri/msaada uwe unataja model na operating system unayotumia inarahisisha kupewa jibu.
feni tu linaweza sababisha hilo tatizo. ukitumia pc huku umewasha feni.
angalia inatumia cpu gani, nenda my computer kisha right click kisha properties utaiona.Mkuu nina swali kwako..
Nina laptop aina ya Acer aspire V3-531
Kwanza inasumbua window(ila mi sio mtaalam wa hayo mambo)
Pia je ina uwezo wa kurun game ipi za mpira?
Inacheza ikiwa kweny chager au hata kama hujachomeka kweny adapter?Habar wanajf naona cursor ya kwenye pc yangu haitulii yan kila ukitaka ku-select kitu inacheza cheza sana naomben msaada namna ya kusolve hili
Yan inakua inacheza wakati wowte mashetan yake yakitibuka inaanza kuzingua ni mda mfupi sana inakua fresh then hali inajirudia tenaaInacheza ikiwa kweny chager au hata kama hujachomeka kweny adapter?
Fanya uchunguz huu... Itumie bila kuichomeka kweny moto... Angalia tatizo linakua bado lipo? Mara nying adapter ndio huleta hyo shidaYan inakua inacheza wakati wowte mashetan yake yakitibuka inaanza kuzingua ni mda mfupi sana inakua fresh then hali inajirudia tenaa
Yaah bado linakuepogiFanya uchunguz huu... Itumie bila kuichomeka kweny moto... Angalia tatizo linakua bado lipo? Mara nying adapter ndio huleta hyo shida
Thankssehem ya ya mouse touchpad hakikisha pawe pakavu,usitumie pc ukiwa na fluids yyte au ukwa na chakula cha aina yyte..hii huleta pia tatzo la cursor kuchezacheza
.Thanks