Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
- Thread starter
-
- #121
Mheshimiwa mwanakijiji,
Mimi nafahamu unaelewa tofauti ya mtanzania asilia na yule mzawa.
Richa ni mtanzania mwenye asili ya Asia (Mtanzania Nusu??? M.M.) lakini kazaliwa Tanzania(uki-trace babu zake wako Asia) na mwingine anajulikana bila ubishi ni mtanzania wa kuzaliwa na kwa asili (uki-trace babu zake asili ni Tanzania).
Ha ha ha Wabaguzi sisi kwa kusema jamo kama tunavyoliona. Kwamba pamoja na wahindi kuzaliwa Tanzania na kuishi miaka mingi wengi wao hawaoni umuhimu wa kukijua kiswahili maana kwao wao ni lugha ya washenzi. Pamoja na kuishi Tanzania miaka chungu nzima bado wanajitenga katika maeneo maalum 'uhindini' na kamwe hawataki kujichanganya na sisi washenzi, pamoja na kuishi Tanzania miaka chungu nzima bado wanajiona wao ni bora kuliko sisi na hawako tayari kwa intermarriages kati yao na wamatumbi washenzi! lakini hili la huyo mhindi kutokuwa na sifa zozote za kupewa Umiss India...Ooops! Miss Tanzania na watu kusema ukweli wanavyoona wewe unaona ni ubaguzi! Mwe! Kazi kweli kweli na safari bado ni ndefu sana!
Pia unataka walioshiriki wamsupport huyo mhindi, kwa nini hasa alichokifanya hata wamsupport? kwa kupewa ushindi ambao washiriki wote wanajua hakustahili!? Hao wahindi lini walisimama na kuwasupport Miss Tanzania wa miaka ya nyuma? au kwa kuwa wao ni bora kuliko sisi hivyo hawana haja ya kufanya hivyo!? Acha hizo!
Ha ha ha Wabaguzi sisi kwa kusema jamo kama tunavyoliona. Kwamba pamoja na wahindi kuzaliwa Tanzania na kuishi miaka mingi wengi wao hawaoni umuhimu wa kukijua kiswahili maana kwao wao ni lugha ya washenzi. Pamoja na kuishi Tanzania miaka chungu nzima bado wanajitenga katika maeneo maalum 'uhindini' na kamwe hawataki kujichanganya na sisi washenzi, pamoja na kuishi Tanzania miaka chungu nzima bado wanajiona wao ni bora kuliko sisi na hawako tayari kwa intermarriages kati yao na wamatumbi washenzi!
lakini hili la huyo mhindi kutokuwa na sifa zozote za kupewa Umiss India...Ooops! Miss Tanzania na watu kusema ukweli wanavyoona wewe unaona ni ubaguzi! Mwe! Kazi kweli kweli na safari bado ni ndefu sana!
Pia unataka walioshiriki wamsupport huyo mhindi, kwa nini hasa alichokifanya hata wamsupport? kwa kupewa ushindi ambao washiriki wote wanajua hakustahili!? Hao wahindi lini walisimama na kuwasupport Miss Tanzania wa miaka ya nyuma? au kwa kuwa wao ni bora kuliko sisi hivyo hawana haja ya kufanya hivyo!? Acha hizo!
Sen. Barack Obama (D Illinois)ana baguliwa na wazungu kwasababu ni mweusi na kwamba middle name yake Hussein ina connection na ugaidi. African Amercans (blacks) nao pia wanambagua ati kwa maelezo kwamba sio black enuff kwa sababu mama yake ni mzungu na msure wake alikuwa katokea kenya tena ni jaluo toka kisumu. Pia kwamba anaongea straight bila kuwa na ile accent ya ghetto........na mambo mengine kemkem ambayo hapa si ya lazima.
Kisa cha kuandika hayo hapo juu, ni katika juhudu za kuonyesha kwamba watu wakitaka kukubagua basi hawatakosa la kusema na kaupenyo ka kufanya hivyo. Issue ya wahindi Tanzania ni kubwa kushinda haka kalembo ambako pia inawezekana ni ka-victim kwa jinsi moja au nyingine ila sisi hatujui tu.
napinga ushindi wa huyo mhindi vikali sana ! hivi hivi watz asilia tutaanza kusema ooh wahindi tz hawatendewi haki ukiangalia hata sisi wenyewe asilia hatujitendei haki leo hii uniambie nimtendee mhindi haki, for what ? kama wazawa wenyewe tungekuwa mbali zaidi kimaendeleo basi hapo sawa kuanza kuwashirikisha hao wahindi katika mambo ya taifa, lakini hata wazawa wenyewe hatujajikomboa halafu uweke wahindi sahani moja na wazawa, ujinga gani huo ? sitaki kusikia kabisaaaaa kuhusu hawa wahindi, idd amini angekuwa mzima kwa miezi miwili ningemuomba aje tz kuwa rais kwa hiyo miezi 2 halafu wangeone shughuli yao !
wazawa kwanza, the rest wafuate behind !
Kuna wengi Tanzania wasiojua Kiswahili. Bibi yangu amekufa akiwa na miaka 90+ na neno la Kiswahili alilokuwa analijua ni 'jambo' na 'habari gani' kwa lafudhi nzito ya Kisukuma!!!
Kuhusu intermarriages kati ya sisi weusi na wao; yaani wewe hili unaliona ni muhimu sana eeh? Wewe uko tayari kumuoa Mhindi?
Halafu hili la wewe kusema wao wanajiona kuwa ni bora kuliko sisi linaonyesha inferiority complex yako. Unaka-complex kakujisikia uko duni dhidi ya watu wa rangi nyeupe nyeupe (for lack of a better term)
LOL! Talking about inferiority complex! So to call a SPADE by its real name shows my inferiority complex....LOL! I am done with this discussion. You seem not to have the ability and depth to discuss about this issue, instead you are jumping to personal attack. I don't have time for that BS. SAYONARA!
Nadhani Mwkjj unashindwa kuelewa hoja za watu wengi kuhusu jamii ya kihindi na suala zima la Richa.Inawezekana kabisa kuwa Richa ni binti tu,tena pengine asiye na matatizo na watu wengine, ila ni lazima uangalie suala zima in broad view.Kuna kundi kubwa tu la watanzania ambao wamelalamika kuwa wafanyabiashara wa kihindi kwa kutumia pesa zao na umaarufu wao wameingilia kati mchakato mzima wa uchaguzi wa miss Tanzania! kwa maneno mengine wamewanunua majaji ili kumchagua mhindi mwenzao awe miss TZ na kuwa watamtumia kwenye biashara zao! na ndiyo maana wanalalamika kuchaguliwa kwa huyo binti! sasa hiyo haimaanishi kuwa kwakuwa eti Richa anasema kisukuma au kiswahili watu wakae kimya ili wasionekane wabaguzi no!! au hata kama majaji watakuwa ni weusi tii kama mkaaa haimaanishi kuwa watu wasilalamike juu ya huo ushindi wa kutatanisha wa huyo binti mpole kama unavyosema wewe!
La pili lazima uelewe kuwa ushindi wa Richa si tu kwamba ni ushindi wa umiss kama watu wengi wanavyofikiri,bali unabeba message nzito katika taifa letu nalo ni kuwa jamii ya kihindi ikiongozwa na wafanyabiashara wao wakubwa wanaweza kufanya lolote nchini mwetu hata kama sheria zinapindishwa au jamii nzima ya kitanzania hakiubaliani nalo.Kwa meneno mengine ule ushindani haukuwa wa umiss tu bali ulikuwa unabeba message ya power juu ya jamii ya kihindi na ile ya watu wengine.
Nasubiri hoja yako....
Wembe
Mkuu, hata mimi naona wanashindwa kujieleza, maana kila engo wanayokuja yaani its not justifiable kumshambulia Richa.Hoja waliyonayo ni ya kibaguzi ndio maana wanazungukazunguka tu bila kuweka bayana kile kilicho moyoni. Mimi namuheshimu sana mtu ambaye hafichi chuki zake. It is okay kuchukia so long as humdhuru mtu yoyote.